Kabla hujenda kulala pitia hapa.

Kabla hujenda kulala pitia hapa.

Mi nakaaaa,aaah!bando limekata mkuu nnimeshindwa kumalizia km vp nxt time
 
miss chato

Hivi Miss Natafuta bado hujampataga?.Hadi leo unatafuta?.

Hivi unaishi wapi bibie?.

Umeolewa?.

Kwenye DP/Avatar ni wewe?.Kama siyo ni nani?.

Nadhani hapo hakuna swali gumu,Kama halipo naomba majibu.Kama lipo nakupa mji.Kumradhi.
 
Mm naishi mwakafyete karibu na njia panda ya kokwima karibu na kwa mzee Mteronpwe. Karibu sana
 
Back
Top Bottom