Kabla hujenda kulala pitia hapa.

Kabla hujenda kulala pitia hapa.

Where we dare to talk openly. Uta talk openly wakat ni verified tena Tanzania hapa?
 
Sijui kwanini walioizoea FB roho huwa zinawauma wakiwa hawaoni majina ya wenzao na mahali walipo?
Alianza mdau mmoja kwa kuweka picha yake na jina zima na kutaka wenzake waufuate mkondo, wengi waliofuata ule mkondo unakuta hana posts kuzidi 25. Leo kaja ndugu huyu na kushangaa kwanini humu haoni personal details na location ya mtu.

When you are in Rome.....?
 
kwangu jukwaa,la elimu hapa chit chat napitaa tu,namba zangu wanazo vodacom na tigo...
 
Back
Top Bottom