Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
- Thread starter
-
- #81
MI kwangu ilula mkuu unapajua?Anza wewe kwa kuwa varified user.
ha ha haUkabila unaanza sasa. Au unataka kufanya sensa?
ndio wapi huko [emoji28][emoji28]kwangu kunfukoikoikoi.. unapanda kulia tena kushoto unashuka chini halafu unakaa katikati hapo ndiyo kwangu
Ukitaka kukoment uzi u jitaje kwako wap
tanzaniandio wapi huko [emoji28][emoji28]
Aah Mkuu acha dharau bana, hata kama tunasoma namba lakini Bundle haipigi chenga kabisa.Hongera mkuu ukishiwa bando niambie
Ndo ivo mkuu umejib vizur lazma uzawadiweAah Mkuu acha dharau bana, hata kama tunasoma namba lakini Bundle haipigi chenga kabisa.
Eg wewe apoWengine makazi yao kuzimu[emoji88] [emoji88] [emoji88]
Mkuu, kwetu ni hapahapa tunapokutana. Hayo mengine achana nayo.inamaana umu watu hawana Kwao Naona apo pameeleweka
Basi hujui maana ya kundi hiliKwa nini iwe Siri ivyo mkuu wanaficha nini?
miss chato