Kabla na baada ya ndoa

Kabla na baada ya ndoa

Kwanza pole kwa changamoto hiyo ambayo najua inaumiza ukiwaza mwanzo na mlipo sasa hivi. Kipindi hiki ndoa nyingi zipo taabani sana, yani mahututi. Katika watu 10 ukikutana nao wakaamua kusema ukweli basi 8 wapo kwenye shida na 2 hawajui wapi wanaelekea.
Sababu kubwa za haya yote ni mabadiliko ya maisha na shetani kwa ukubwa wake yupo kazini kupitia kaazi zetu tunazozifanya, huko tunakosa muda, kipato kinachoeleweka kukidhi mahitaj yetu ya kila siku.
Usijaribu kipindi hiki kuongelea swala la kuachana kama suluhu na usitegemee njia moja italeta suluhu, mfano ukijifanya kumpa kila kitu anaweza asione umuhimu akazidi, ukimhubiria zaid pia anaweza asikubali, ukichepuka inaweza leta shida zaid. Jaribu kumsikiliza zaid kwakuwa yeye ndio mwenye shida, kila siku muulize kwa upole anataka nini ili akae sawa? ikibidi muombe aende kwao kwa muda mfupi au safiri naye kwenda kwao, akikataa usimlazimishe kwani kuna siku ataona yeye ni tatizo kwakuwa ushamuuliza ujue wapi pa kurekebisha.
Mwisho kuwa na subra sana, binadamu kuna vipindi wanapitia huzuni kubwa sana na ni wao wenyewe wanaweza kuzibadili na sio mwingine, usiwe muongeaji sana mkiwa wote na msikilize sana na toa majibu yanayohitajika kwa wakat huo. usijaribu kumtolea mifano ya watu wengine ili kumrekebisha hiyo hali
Asante kwa neno lako la hekima. Hii inadhihirisha una uzoefu na kesi za wanandoa wengi kwa hiyo nina imani unachoshauri kimewasaidia wengi. Huwa najipa imani kwamba haya ninayopitia ipo siku yatapita ila naona hayapiti na kila siku inakuja na jipya... Kama ni kuongea sana ama kuhubiri sana nilishaacha kitambo sana, sasa hivi nipo kimya sana, akinimbia hii ni 9 nikamuambia sio 9 ni 6 akasisitiza ni 9 basi nakubaliana nae... Kuna wkt natamani nianze kutumia pombe kupunguza stress kidogo, ila kabla sijafika huko nimeamua kushare na wana JF kupata maneno mazuri kama ya kwako mkuu. Asante sana
 
Kama hapo kwenye kiburi na ujuaji ndio usiseme kabisa...
Single mother utamfurahia mwanzoni tu kwa kuwa atakupa ngono haswa na miguno ya kinafki, ukishakolea ndiyo utajua hujuh,
Ndiyo Mana wengi wao wanapelekewa moto kotekote na hawakatai!!
 
Utatuzi ni kutafuta chanzo chake ni nini. Jitahidi kutafuta chanzo cha hayo. Au Kuna mambo ya nyuma alifikiri angesahau yalimuumiza. Haina mbaya wa kudumu
Nadhani kuna mambo yake ya nyuma pia yana mchango mkubwa sana juu ya tabia yake ya sasa. Kuna matukio ya kimapenzi alikutana nayo huko nyuma yalimharibia sana maisha, ndoto zake zikazima, mpk alijiingiza kwenye gruds kupunguza stress... Mambo ni mengi nilikuja kuyajua nikiwa nishaoa tyr. Past yake sometimes sipendi sana kuikumbuka ila ndiyo nishayakanyaga
 
Single mother utamfurahia mwanzoni tu kwa kuwa atakupa ngono haswa na miguno ya kinafki, ukishakolea ndiyo utajua hujuh,
Ndiyo Mana wengi wao wanapelekewa moto kotekote na hawakatai!!
Ananichosha sana anaponipa kauli eti hana mazoezi.. Huwa najiuliza wkt sijamuoa au ile mwanzo wa ndoa hayo mazoezi alikuwa anayafanyia wapi maana show zilikuwa sio za kitoto

Unachoongea upo sahihi mwamba welding1682
 
Asante kwa ushauri kaka

Ni kweli nimejaribu mara nyingi kumbadilisha ili awe yule ninayemtaka. Mwanzoni alikuwa anaelewa na anajitahidi kubadilika ila kadiri miaka inavyosogea mambo yanazidi kuwa mabaya... Sijui ndiyo kanizoea sana

Ila labda nianze tena kumbadilisha kama zamani maana nilishamkatia tamaa
Utawezaje kumbadilisha ikiwa yeye hajataka kubadilka?

Yawezekana unamuumbia taswira ya unavyotaka awe na yeye anaona hafit kuwa vile unavyotaka.

Ukali kwa watoto je umejaribu kujua chanzo? Pengine ni hasira na msongo wa mawazo.

Kumbuka kuwa akibadilika yeye ni wewe uliyebadilika kwahiyo anakuonesha kile unachomuonesha.

Mwisho watu wanabaki kwaajili ya upendo na sio watoto kwani kama hakuna upendo ambao watoto watauona mtawapa tabu sana katika kukua kwao.. kila la kheri
 
Usinywe pombe, Wala usiwe na mchepuko, Bali Kaa nae muulize, watakaje honey, nikufanyie nini sweetie, ikiwa Kuna kitu anataka atasema, hapa tufanye hv pale tufanye hivi, na ikiwa lengo lake ni kutafta sababu hawezi nyoosha anataka nini, hapo utaelewa anakulia timing ujichanganye, baada ya kuelewa kusudio lake kuwa tayar kuachana hata kama ni kwa kugawana, kwa nini? Kwa sabb Ili usiendelee kujenga sehemu inayomomonyoka vunja tofali ukajenge sehemu madhubuti, usiendelee kupoteza, zaid ya hapo utakuwa mtumwa wake, watu wote eleweni Kila mtu ana moyo wake na anabadilika mda wowote, akibadilika usione ni jipya moyo wa mtu kichaka, kanuni yangu ni hii: tunapoelewana tunasonga tunashindwana Kila mtu anashika njia yake. Siwezi mlazimisha awe ninavyotaka.
 
Hili la kuvunja hii ndoa linaniingia sana, nimejaribu mara kadhaa ila kabla sijafanikisha anakuja kwa kulia sana akiomba msamaha na kuahidi kwa dhati kushughulikia tofauti zetu. Na hii ndiyo nyakati pekee ambayo huwa naona kama anajutia ila sasa kinachonishangaza nikirudisha moyo wangu nyuma hata mwezi haiushi ahadi inavunjwa, kiburi, ujuaji mwingi, hasira za hovyohovyo. Ukija kwangu nyumba nzima anaunguruma yeye tu. Nikichelewa kidogo visirani haviishi. Tukipishana kauli kidogo tu basi atakumbushia kosa la mwaka juzi
..
 
Utaongea nini ambacho atahisi hajui.. Labda kwa sababu kanizidi umri
Kumbe anakuzidi umri ?
Sasa nimeanza kuelewa yawezekana wewe una utoto mwingi akianza kukukataza tabia mbaya unaona Kama unaonewa ,alafu kwanini kumuoa dada yako bro ?

By the way usiforce kubaki kwenye ndoa Nigga huku unateketea ,ukiona vipi bwaga manyanga kasimame mbali uanze upya .

Pole ndugu
 
Ila hii kitu ya kuishi na binadamu mmoja tu hadi kifo kiwatenganishe!!!🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Utawezaje kumbadilisha ikiwa yeye hajataka kubadilka?

Yawezekana unamuumbia taswira ya unavyotaka awe na yeye anaona hafit kuwa vile unavyotaka.

Ukali kwa watoto je umejaribu kujua chanzo? Pengine ni hasira na msongo wa mawazo.

Kumbuka kuwa akibadilika yeye ni wewe uliyebadilika kwahiyo anakuonesha kile unachomuonesha.

Mwisho watu wanabaki kwaajili ya upendo na sio watoto kwani kama hakuna upendo ambao watoto watauona mtawapa tabu sana katika kukua kwao.. kila la kheri
Unachoongea uko sahihi, kumbadilisha mtu mzima tena akiwa kakuzidi umri ni kazi ngumu sana sio kwamba haiwezekani. Nadhani kila ninapojaribu kumfanya awe mke yule niliyekuwa nae kabla ya ndoa anahisi kama nishamchoka (sina hakika kama anawaza hivyo)

Ukali kwa watoto au kwa wengine nadhani ni tabia yake ya asili au ya kurithi maana kuna baadhi ya ndugu zake akiwemo mshua wake nimekuja kuwafahamu ni wakali balaa. Hasira zake sometimes zinanitoa sana kwenye reli, anapaniki vitu Vidogo sana anafanya vionekane vikubwa... Hata mabinti wa kazi tumeshindwa kuishi nao kisa hizo hasira zake
 
Kumbe anakuzidi umri ?
Sasa nimeanza kuelewa yawezekana wewe una utoto mwingi akianza kukukataza tabia mbaya unaona Kama unaonewa ,alafu kwanini kumuoa dada yako bro ?

By the way usiforce kubaki kwenye ndoa Nigga huku unateketea ,ukiona vipi bwaga manyanga kasimame mbali uanze upya .

Pole ndugu
Sina utoto mkuu japo haiondoi ukweli kwamba kanizidi umri. Ila ktk kuishi nae najitahidi sana kuwa mwanaume na kumuongoza kupita njia ile aliyokuwa anapita kabla sijamuoa ila sasa

Ni kweli kuna namna natakiwa kufanya Asante kwa ushauri wako
 
Ila hii kitu ya kuishi na binadamu mmoja tu hadi kifo kiwatenganishe!!![emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Ni kama kusikiliza wimbo mmoja kuanzia asbh mpaka jioni bila kupumzika

Kuna nyimbo hazichoshi, ila kuna huu wimbo wangu sasa[emoji57]

Wadau wanatoa ushauri mzuri sana
 
Nyinyi baba wa kambo mnaolea mabao ya wanaume wenzenu ni wanaume ambao single moms wasingekubali kuolewa na nyinyi ikiwa wasingekuwa na watoto

Ndio maana kila siku huwa tunasema mwanaume yoyote aneyeoa single mom ni low value man anashindwa kuwavutia wanawake wasio na watoto anaamua kujiweka kwa single moms kwa sababu wako cheap
 
Anavuta mda baadae hutaweza muacha, umri utaenda, nguvu itaisha na hutakua na la kufanya, narudia hakiki malengo yake, ukiyaelewa maliza mchezo, hizo samahani zisizofanyiwa kazi ni ishara tosha kabisa, nakupa kanuni nyingine, nayo ni hii : kwanza Mimi hunyooka na kunyoosha maelezo na kuwa mkweli, siwezi kupandishiana sauti na m mke najua hapa maisha yameisha simuwezi, ana hoja aweke mezani makelele siyataki, zingatia nyooka wewe kwanza vichaka vyote utaviona, Kisha akipanda wewe Rudi chini, hapo utaona mwanga na utajua ni timing, kama kama ana hoja kwa nini asiziweke mezani, usifikir atakiri kwamba hakutaki, Bali makosa anafanye yeye sababu anakutaftia wewe
 
Hili nalo neno, sema elimu kama hii uliyoitoa tunaipata kwa kuchelewa sana

Kuna ile unakutana na single mother unahisi umepata dunia, mpk unajiuliza mwanaume mwenzangu mbona alichezea bahati. Halafu kuna ile umepata single mother anayeitafuta ndoa kwa gharama yoyote ile ila baada ya kuolewa ndiyo anakupa sababu kwanini aliachana na mzazi mwenzie... Hili la pili linapita kwangu sasa

Gharama za kuvunja hii ndoa ni kubwa ila kwa maoni ya wadau I have to or nijiingize kwa mchepuko nipunguze stress za ndoa
 
Anavuta mda baadae hutaweza muacha, umri utaenda, nguvu itaisha na hutakua na la kufanya, narudia hakiki malengo yake, ukiyaelewa maliza mchezo, hizo samahani zisizofanyiwa kazi ni ishara tosha kabisa, nakupa kanuni nyingine, nayo ni hii : kwanza Mimi hunyooka na kunyoosha maelezo na kuwa mkweli, siwezi kupandishiana sauti na m mke najua hapa maisha yameisha simuwezi, ana hoja aweke mezani makelele siyataki, zingatia nyooka wewe kwanza vichaka vyote utaviona, Kisha akipanda wewe Rudi chini, hapo utaona mwanga na utajua ni timing, kama kama ana hoja kwa nini asiziweke mezani, usifikir atakiri kwamba hakutaki, Bali makosa anafanye yeye sababu anakutaftia wewe
Hii kubwa sana kwangu... Ijapokuwa binadamu hatufanani ila hii imenyooka, Asante kwa kunipakulia minyama... Nitachanganya na za kwangu na kuruka nayo
 
Back
Top Bottom