Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikae kizembe labda kama huna helaNalo neno, kuna wkt lilinijia wazo la kumpandisha cheo ila nikaona kama mambo yatakuwa mengi ila nadhani hili nalo niliangalie
Asante kwa neno lako la hekima. Hii inadhihirisha una uzoefu na kesi za wanandoa wengi kwa hiyo nina imani unachoshauri kimewasaidia wengi. Huwa najipa imani kwamba haya ninayopitia ipo siku yatapita ila naona hayapiti na kila siku inakuja na jipya... Kama ni kuongea sana ama kuhubiri sana nilishaacha kitambo sana, sasa hivi nipo kimya sana, akinimbia hii ni 9 nikamuambia sio 9 ni 6 akasisitiza ni 9 basi nakubaliana nae... Kuna wkt natamani nianze kutumia pombe kupunguza stress kidogo, ila kabla sijafika huko nimeamua kushare na wana JF kupata maneno mazuri kama ya kwako mkuu. Asante sanaKwanza pole kwa changamoto hiyo ambayo najua inaumiza ukiwaza mwanzo na mlipo sasa hivi. Kipindi hiki ndoa nyingi zipo taabani sana, yani mahututi. Katika watu 10 ukikutana nao wakaamua kusema ukweli basi 8 wapo kwenye shida na 2 hawajui wapi wanaelekea.
Sababu kubwa za haya yote ni mabadiliko ya maisha na shetani kwa ukubwa wake yupo kazini kupitia kaazi zetu tunazozifanya, huko tunakosa muda, kipato kinachoeleweka kukidhi mahitaj yetu ya kila siku.
Usijaribu kipindi hiki kuongelea swala la kuachana kama suluhu na usitegemee njia moja italeta suluhu, mfano ukijifanya kumpa kila kitu anaweza asione umuhimu akazidi, ukimhubiria zaid pia anaweza asikubali, ukichepuka inaweza leta shida zaid. Jaribu kumsikiliza zaid kwakuwa yeye ndio mwenye shida, kila siku muulize kwa upole anataka nini ili akae sawa? ikibidi muombe aende kwao kwa muda mfupi au safiri naye kwenda kwao, akikataa usimlazimishe kwani kuna siku ataona yeye ni tatizo kwakuwa ushamuuliza ujue wapi pa kurekebisha.
Mwisho kuwa na subra sana, binadamu kuna vipindi wanapitia huzuni kubwa sana na ni wao wenyewe wanaweza kuzibadili na sio mwingine, usiwe muongeaji sana mkiwa wote na msikilize sana na toa majibu yanayohitajika kwa wakat huo. usijaribu kumtolea mifano ya watu wengine ili kumrekebisha hiyo hali
Single mother utamfurahia mwanzoni tu kwa kuwa atakupa ngono haswa na miguno ya kinafki, ukishakolea ndiyo utajua hujuh,Kama hapo kwenye kiburi na ujuaji ndio usiseme kabisa...
Nadhani kuna mambo yake ya nyuma pia yana mchango mkubwa sana juu ya tabia yake ya sasa. Kuna matukio ya kimapenzi alikutana nayo huko nyuma yalimharibia sana maisha, ndoto zake zikazima, mpk alijiingiza kwenye gruds kupunguza stress... Mambo ni mengi nilikuja kuyajua nikiwa nishaoa tyr. Past yake sometimes sipendi sana kuikumbuka ila ndiyo nishayakanyagaUtatuzi ni kutafuta chanzo chake ni nini. Jitahidi kutafuta chanzo cha hayo. Au Kuna mambo ya nyuma alifikiri angesahau yalimuumiza. Haina mbaya wa kudumu
Ananichosha sana anaponipa kauli eti hana mazoezi.. Huwa najiuliza wkt sijamuoa au ile mwanzo wa ndoa hayo mazoezi alikuwa anayafanyia wapi maana show zilikuwa sio za kitotoSingle mother utamfurahia mwanzoni tu kwa kuwa atakupa ngono haswa na miguno ya kinafki, ukishakolea ndiyo utajua hujuh,
Ndiyo Mana wengi wao wanapelekewa moto kotekote na hawakatai!!
Utawezaje kumbadilisha ikiwa yeye hajataka kubadilka?Asante kwa ushauri kaka
Ni kweli nimejaribu mara nyingi kumbadilisha ili awe yule ninayemtaka. Mwanzoni alikuwa anaelewa na anajitahidi kubadilika ila kadiri miaka inavyosogea mambo yanazidi kuwa mabaya... Sijui ndiyo kanizoea sana
Ila labda nianze tena kumbadilisha kama zamani maana nilishamkatia tamaa
Hili la kuvunja hii ndoa linaniingia sana, nimejaribu mara kadhaa ila kabla sijafanikisha anakuja kwa kulia sana akiomba msamaha na kuahidi kwa dhati kushughulikia tofauti zetu. Na hii ndiyo nyakati pekee ambayo huwa naona kama anajutia ila sasa kinachonishangaza nikirudisha moyo wangu nyuma hata mwezi haiushi ahadi inavunjwa, kiburi, ujuaji mwingi, hasira za hovyohovyo. Ukija kwangu nyumba nzima anaunguruma yeye tu. Nikichelewa kidogo visirani haviishi. Tukipishana kauli kidogo tu basi atakumbushia kosa la mwaka juziUsinywe pombe, Wala usiwe na mchepuko, Bali Kaa nae muulize, watakaje honey, nikufanyie nini sweetie, ikiwa Kuna kitu anataka atasema, hapa tufanye hv pale tufanye hivi, na ikiwa lengo lake ni kutafta sababu hawezi nyoosha anataka nini, hapo utaelewa anakulia timing ujichanganye, baada ya kuelewa kusudio lake kuwa tayar kuachana hata kama ni kwa kugawana, kwa nini? Kwa sabb Ili usiendelee kujenga sehemu inayomomonyoka vunja tofali ukajenge sehemu madhubuti, usiendelee kupoteza, zaid ya hapo utakuwa mtumwa wake, watu wote eleweni Kila mtu ana moyo wake na anabadilika mda wowote, akibadilika usione ni jipya moyo wa mtu kichaka, kanuni yangu ni hii: tunapoelewana tunasonga tunashindwana Kila mtu anashika njia yake. Siwezi mlazimisha awe ninavyotaka.
Kumbe anakuzidi umri ?Utaongea nini ambacho atahisi hajui.. Labda kwa sababu kanizidi umri
Unachoongea uko sahihi, kumbadilisha mtu mzima tena akiwa kakuzidi umri ni kazi ngumu sana sio kwamba haiwezekani. Nadhani kila ninapojaribu kumfanya awe mke yule niliyekuwa nae kabla ya ndoa anahisi kama nishamchoka (sina hakika kama anawaza hivyo)Utawezaje kumbadilisha ikiwa yeye hajataka kubadilka?
Yawezekana unamuumbia taswira ya unavyotaka awe na yeye anaona hafit kuwa vile unavyotaka.
Ukali kwa watoto je umejaribu kujua chanzo? Pengine ni hasira na msongo wa mawazo.
Kumbuka kuwa akibadilika yeye ni wewe uliyebadilika kwahiyo anakuonesha kile unachomuonesha.
Mwisho watu wanabaki kwaajili ya upendo na sio watoto kwani kama hakuna upendo ambao watoto watauona mtawapa tabu sana katika kukua kwao.. kila la kheri
Tulia babe!Ama kweli, wanaume tumeumbiwa mateso.. 🤣
hawana raha, wanastress tu, zikishaisha anarudisha mpira kwa kipa@daud1 wana raha yao usipowajulia ila wakigeuka wana mabalaa sana japo sio wote
Sina utoto mkuu japo haiondoi ukweli kwamba kanizidi umri. Ila ktk kuishi nae najitahidi sana kuwa mwanaume na kumuongoza kupita njia ile aliyokuwa anapita kabla sijamuoa ila sasaKumbe anakuzidi umri ?
Sasa nimeanza kuelewa yawezekana wewe una utoto mwingi akianza kukukataza tabia mbaya unaona Kama unaonewa ,alafu kwanini kumuoa dada yako bro ?
By the way usiforce kubaki kwenye ndoa Nigga huku unateketea ,ukiona vipi bwaga manyanga kasimame mbali uanze upya .
Pole ndugu
Ni kama kusikiliza wimbo mmoja kuanzia asbh mpaka jioni bila kupumzikaIla hii kitu ya kuishi na binadamu mmoja tu hadi kifo kiwatenganishe!!![emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Hili nalo neno, sema elimu kama hii uliyoitoa tunaipata kwa kuchelewa sanaNyinyi baba wa kambo mnaolea mabao ya wanaume wenzenu ni wanaume ambao single moms wasingekubali kuolewa na nyinyi ikiwa wasingekuwa na watoto
Ndio maana kila siku huwa tunasema mwanaume yoyote aneyeoa single mom ni low value man anashindwa kuwavutia wanawake wasio na watoto anaamua kujiweka kwa single moms kwa sababu wako cheap
Hii kubwa sana kwangu... Ijapokuwa binadamu hatufanani ila hii imenyooka, Asante kwa kunipakulia minyama... Nitachanganya na za kwangu na kuruka nayoAnavuta mda baadae hutaweza muacha, umri utaenda, nguvu itaisha na hutakua na la kufanya, narudia hakiki malengo yake, ukiyaelewa maliza mchezo, hizo samahani zisizofanyiwa kazi ni ishara tosha kabisa, nakupa kanuni nyingine, nayo ni hii : kwanza Mimi hunyooka na kunyoosha maelezo na kuwa mkweli, siwezi kupandishiana sauti na m mke najua hapa maisha yameisha simuwezi, ana hoja aweke mezani makelele siyataki, zingatia nyooka wewe kwanza vichaka vyote utaviona, Kisha akipanda wewe Rudi chini, hapo utaona mwanga na utajua ni timing, kama kama ana hoja kwa nini asiziweke mezani, usifikir atakiri kwamba hakutaki, Bali makosa anafanye yeye sababu anakutaftia wewe