Kabla sijaenda kufanyiwa Operation Jumatatu nina ujumbe kwa waJF kadhaa

Usiwe unakuja kwa nyuzi zangu abegπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
labda uwe unaziposti chumbani kwako na sio humu jukwaa huru la jf
 
Joannah huyu Prida wa kuchonga katokea wapi?
Mbona Pridah ninayemjua mchungaji na hana mimba..!!

JF kweli ni kichaka..!!
Pridah huyo sina pasiwedi yake dogo.
Andaa beseni usitafute sababu za kukwepa.
 
Natumaini utajifungua salama na wewe na mtoto mtakuwa na afya njema.

All the best.
 
Hapana, wewe sio Pridah wetu..!!
Hilo beseni andaa na ndugu zako… hatukujui kwenye familia yetu..!!
Sawa ila usimalize maneno.
Kama kuna code ya kutambulisha mie ndie tuitumie.
Shauri yako.
 
Hatukufahamu mwenetu na umenichefua kweli kutumia pic na jina la sis angu..!! 😏
Hakika unampenda dada yako Pridah na hilo limenifurahisha.
Ila nacheka sana hapa jinsi unavyonikemea 'prida' wa mchongo.
Anyway,endelea kubarikiwa dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…