Mie ndio daktari nitakuwa zamuMke wa mtu sumu
KabisaaIngekua vyema angeongea na wanaume wenzie so sie tunaotongozwa .
Punguza woga basi...Hebu come This way....Ungejua sijawahi hata kumeza p2, nataka mapacha babu hebu fanya mambo basi
Ungejua sijawahi hata kumeza p2, nataka mapacha babu hebu fanya mamNa wewe uache sasa kutumia P2 na hayo manailoni...
Banu yenu nina Upungufu wa Wajukuu Duniani (UWADU)
Panua nyonga hiyo niijaze dunia na wajukuu mie
You are crazy babu 😅😅Punguza woga basi...Hebu come This way....
Njoo "without" kabisa ili tusipoteze muda....
Jambo la kumshukuru Mungu tena watoto mapacha Safi sanaBarikiwa sana kwa kujali mkuu🙏
NIliomba wa kike ila nimepewa midume miwili .
Naendelea vizuri asante🙏