Muogope we mzee ...wanaume wasiotahiriwa hawazai?Sasa unadhani huyo mtoto utampata bila mimi kutahiriwa. Zingatia neno KUTAHIRIWA.
Hayo machungu unayapata wakati wa kujifungua nami niliyapata kwenye TOHARA.
Kaa kwa kutulia, linda mgongo wako.
Bwabwa hilo,linaona mnalimalizia wanaume.Hatutaki
Wanaume wenyewe wengine wakaenda na kuoa Tanga, inasemekana ndo kwenye mapenzi lkn kutwa kuhangaika😁😁 na wadada wa bara 🏃♀️🏃♀️🏃♀️Swali zuri Maria wangu.
Mkuu mi siyo mpare ila sijui huwaga mnapelekwa fieta au thieta ila nakutakia heri kwenye harakati zako za kutuongezea mtanzania mmoja.NB:Kumbe ni thieta sio fieta😃
Ila hiyo 'thieta' mbona kama kipare
Hatimaye umefufuka kama ulivyosema....Hatutaki
Itoshe kusema wote mliosoma points zote 11 na kulazimisha kuzielewa huku uandishi ukiwa umekosewa sana mnapenda sana umbeyaJumatatu ambayo ni bafudei yangu nitaenda kujifungua kwa upirashioni na hivyo iwapo nitafia kule fieta sitaki yeyote aliye hai anikumbuke kwa ubaya na iwapo nitajifungua salama nataka ninyonyeshe mtoto wangu maziwa yanayotoka katika kifua safi kisicho sumu za chuki,kinyongo wala hasira juu ya yeyote.Maziwa yasiyo na mawaa.
Sasa huu uzi utakua cocktail.
.Nitaandika vitu vingi tofauti tofauti visivyohusiana kwa lengo la kuweka tabasamu kwa watu tofauti na kama nita death naamini uzi huu utasaidia kutimiza lengo langu la kukumbukwa kwa mazuri
.So lergooo!!.
1)Wabibi wenzangu wa over 35 ambao tuuchumi twenu ni dhaifu kama twangu kiasi kwamba huwezi ku afford moisterizer za uhakika tengeneza mafuta ya nazi (usinunue ya viwandani) upake usoni,the way utaglow utanikumbuka ukitabasamu.
2)Seran,binti mrembo,our JF sweetheart, NAKUPENDA.
3)Wote wenye tuuchumi tudogo,usinunue mkaa kupikia maharage ili u save gesi huku ukiharibu mazingira na pesa(unayonunulia mkaa) instead ukijua kesho utapika harage leo weka maharage yako kwenye chupa chai isopooza yalale na maji ya moto.Kesho ukimimina kwenye sufuria yatakua yamelainika utaweka jikoni kuunga tu.
4)Da ganna,our JF Einstein,kijana mwenye IQ na general knowledge za kutosha na upeo mkubwa wa mambo, mdogo wangu kipenzi, mwenye roho mtakabifu.Kwa upendo mkubwa kutoka kilindi cha moyo wangu nakuomba uonane na wataalamu wa saikolojia.We all need help sometimes and I belive its time for you to seek help🙏🙏
5)Una tatizo lolote linakupa shida kupata choo,choo unapata kama cha mbuzi?Kabla ya madawa hebu jaribu bamia.Mimi nina GERD mwaka wa 16 huu,situmii dawa yeyote ya hosp .kutuliza acid tumboni,dawa yangu ni bamia.Haipiti siku sijala steamed bamia.Asubuhi naweza pata breakfast ya steamed bamia yenye viazi mviringo[vitamu vina gas usiguse) ambavyo havijamenywa na samaki mbichi .
6)Sipendi ushoga na kila kitu kuuhusu ila nakiri nimeshindwa kumchukia bichwa Komwe na Coca.Sijui ndo nimepata Stockholm syndrome!
Mara nyingi namchokozaga bichwa kupata atenshuni yake sbb kuna sehemu ndani yangu inampenda ila yote nilomwambia kuhusu ushoga NINAMAANISHA.
7)80/20 rules inasema tumia 80 save 20 ila mimi wakati naishi ghostphase kama ile alohubiri kaka yangu Natafuta Ajira nilipindua hii sheria.Nilitumia 20 nikasave 80 matokeo yake leo navumishiwa eti mie filimasoni.
Namaanisha, ukitaka kuishi na sio kuishia ACHA KUISHI kwa miaka kadhaa,baki unapumua tu,ukianza kuishi tena lazima waulizane.Lazima uvumishiwe umetoa kafara.
HAKUNA HELA NDOGO.
8)Nani atugaie ubuyu wa jinsi Mbaga jr alivyotoroka na dengeluo yote ambayo ndo ilikua drink ov ze day kwenye party ya kumsimika kaka ROBERT PLATNUMZ hadi wageni rasmi Eroni na Mshana wakagongea mbege ya Bwashee manake nasikia eti min me alifosi kuingia na mbege yake alikataa kunywa dengeluo.
9)Kaka Malila,popote ulipo tambua kuna mtu anakuombea baraka huku.Katika kipato ninachoingiza ktk maisha yangu kuna asilimia za kipato hicho zinatokana na wewe.Laiti ingekua hatuko ulimwengu wa wasiojulikana ningekutafuta kaka yangu nikuoneshe jambo ambalo asili yake ni wewe tupate na japo kasoda pamoja🙏🙏.
10)UKIMWI BADO NI TISHIO.
Tumieni Condom mafuta ya nazi yatawaua.
11)NAMPENDA MUME WANGU.
Kama nitafia fieta naomba mnikumbuke kama mwanamke aliyekufa akiwa dipu inravu.
Nampenda yule baba jamani.
Baba kanibadilishia maisha nyie.
Baba kanituliza wenge.
Baba kanionyesha rangi mpya za dunia.
Baba kaweka mwanga palipokua na kiza.
Baba kanipa ujasiri wa kufanya niliyodhani hayawezekani.
Najiona simstahili huyu baba nyie.
Hata kumzalia naona haitoshi.
Anyway,
Mume wangu hoyeeeeeee!!
ASANTENI.🙏🙏
Ungejua sijawahi hata kumeza p2, nataka mapacha babu hebu fanya mambo basiNa wewe uache sasa kutumia P2 na hayo manailoni...
Banu yenu nina Upungufu wa Wajukuu Duniani (UWADU)
Panua nyonga hiyo niijaze dunia na wajukuu mie
Sawa, keeping you in prayer my lovely sisUncle to be.
Dogo atakua akisumbua namleta kwako uhangaike nae umuambukize na ujiniaz,siwezi kufa akati watu wana ma uncle zao.
Unajua mimi na ualimu wangu nikisoma mwandiko wa Prida nasikia kizunguzungu 😬 😎 mama kijacho analijua hilo 😂Umemsahau Binti wa zamani
Ila mzee mwenzangu unazeeka vibaya 😆😆😆Achana na kujifungua kisasa mkuu, niambie upo wapi nije nikufungulie njia mkuu...😋
Zigo la nazi limefika mamie, hapa wote na shemejiyo tumeloweshana shata shata 🤎🤍Sijamsahau.
Nimempa zawadi ya ku glow huku ananukia futa la nazi kama mtoto mchanga.
Eti Binti wa zamani ni kweli wanachokisema majiraz zako kuwa wameona fuso limeshusha mzigo wa nazi hapo kwako?
Nina Hakika hayo ni mafuta GA mabeleUnajua mimi na ualimu wangu nikisoma mwandiko kama huu nasikia kizunguzungu 😬 😎 mama kijacho analijua hilo 😂
Ila mzee mwenzangu unazeeka vibaya 😆😆😆
Zigo la nazi limefika mamie, hapa wote na shemejiyo tumeloweshana shata shata 🤎🤍
pole sana, hizi OP za kujifungua huwa hatari sana, nimepoteza my anti ,siku ya kufanyiwa OP akakumbana na kifafa cha uzazi,Mungu akulinde MkuuJumatatu ambayo ni bafudei yangu nitaenda kujifungua kwa upirashioni na hivyo iwapo nitafia kule fieta sitaki yeyote aliye hai anikumbuke kwa ubaya na iwapo nitajifungua salama nataka ninyonyeshe mtoto wangu maziwa yanayotoka katika kifua safi kisicho sumu za chuki,kinyongo wala hasira juu ya yeyote.Maziwa yasiyo na mawaa.
Sasa huu uzi utakua cocktail.
.Nitaandika vitu vingi tofauti tofauti visivyohusiana kwa lengo la kuweka tabasamu kwa watu tofauti na kama nita death naamini uzi huu utasaidia kutimiza lengo langu la kukumbukwa kwa mazuri
.So lergooo!!.
1)Wabibi wenzangu wa over 35 ambao tuuchumi twenu ni dhaifu kama twangu kiasi kwamba huwezi ku afford moisterizer za uhakika tengeneza mafuta ya nazi (usinunue ya viwandani) upake usoni,the way utaglow utanikumbuka ukitabasamu.
2)Seran,binti mrembo,our JF sweetheart, NAKUPENDA.
3)Wote wenye tuuchumi tudogo,usinunue mkaa kupikia maharage ili u save gesi huku ukiharibu mazingira na pesa(unayonunulia mkaa) instead ukijua kesho utapika harage leo weka maharage yako kwenye chupa chai isopooza yalale na maji ya moto.Kesho ukimimina kwenye sufuria yatakua yamelainika utaweka jikoni kuunga tu.
4)Da ganna,our JF Einstein,kijana mwenye IQ na general knowledge za kutosha na upeo mkubwa wa mambo, mdogo wangu kipenzi, mwenye roho mtakabifu.Kwa upendo mkubwa kutoka kilindi cha moyo wangu nakuomba uonane na wataalamu wa saikolojia.We all need help sometimes and I belive its time for you to seek help🙏🙏
5)Una tatizo lolote linakupa shida kupata choo,choo unapata kama cha mbuzi?Kabla ya madawa hebu jaribu bamia.Mimi nina GERD mwaka wa 16 huu,situmii dawa yeyote ya hosp .kutuliza acid tumboni,dawa yangu ni bamia.Haipiti siku sijala steamed bamia.Asubuhi naweza pata breakfast ya steamed bamia yenye viazi mviringo[vitamu vina gas usiguse) ambavyo havijamenywa na samaki mbichi .
6)Sipendi ushoga na kila kitu kuuhusu ila nakiri nimeshindwa kumchukia bichwa Komwe na Coca.Sijui ndo nimepata Stockholm syndrome!
Mara nyingi namchokozaga bichwa kupata atenshuni yake sbb kuna sehemu ndani yangu inampenda ila yote nilomwambia kuhusu ushoga NINAMAANISHA.
7)80/20 rules inasema tumia 80 save 20 ila mimi wakati naishi ghostphase kama ile alohubiri kaka yangu Natafuta Ajira nilipindua hii sheria.Nilitumia 20 nikasave 80 matokeo yake leo navumishiwa eti mie filimasoni.
Namaanisha, ukitaka kuishi na sio kuishia ACHA KUISHI kwa miaka kadhaa,baki unapumua tu,ukianza kuishi tena lazima waulizane.Lazima uvumishiwe umetoa kafara.
HAKUNA HELA NDOGO.
8)Nani atugaie ubuyu wa jinsi Mbaga jr alivyotoroka na dengeluo yote ambayo ndo ilikua drink ov ze day kwenye party ya kumsimika kaka ROBERT PLATNUMZ hadi wageni rasmi Eroni na Mshana wakagongea mbege ya Bwashee manake nasikia eti min me alifosi kuingia na mbege yake alikataa kunywa dengeluo.
9)Kaka Malila,popote ulipo tambua kuna mtu anakuombea baraka huku.Katika kipato ninachoingiza ktk maisha yangu kuna asilimia za kipato hicho zinatokana na wewe.Laiti ingekua hatuko ulimwengu wa wasiojulikana ningekutafuta kaka yangu nikuoneshe jambo ambalo asili yake ni wewe tupate na japo kasoda pamoja🙏🙏.
10)UKIMWI BADO NI TISHIO.
Tumieni Condom mafuta ya nazi yatawaua.
11)NAMPENDA MUME WANGU.
Kama nitafia fieta naomba mnikumbuke kama mwanamke aliyekufa akiwa dipu inravu.
Nampenda yule baba jamani.
Baba kanibadilishia maisha nyie.
Baba kanituliza wenge.
Baba kanionyesha rangi mpya za dunia.
Baba kaweka mwanga palipokua na kiza.
Baba kanipa ujasiri wa kufanya niliyodhani hayawezekani.
Najiona simstahili huyu baba nyie.
Hata kumzalia naona haitoshi.
Anyway,
Mume wangu hoyeeeeeee!!
ASANTENI.🙏🙏
Wakati unajifungua?🤔🤔 Au changamoto nyingine za kiafya!?nikifikiria lile li sindano la nusu kaputi mgongoni nakosa hamu, nilifanyiwa OP sanitas mara mbili nashukuru Mungu zilienda vzr OP zote mbili
mimi nijifungue? nilikua na matatizo MkuuWakati unajifungua?🤔🤔 Au changamoto nyingine za kiafya!?