Kabla sijaenda kufanyiwa Operation Jumatatu nina ujumbe kwa waJF kadhaa

Braza Asprin is here leo..
Happy to see you mkuu.
Thank you kipenzi... Japo mimi sio "Mkuu" mimi ni Babu.

Bila kujalisha jinsia ya kajukuu kajacho tafadhali tukabatize "Paracetamol" Ili baadae kaje kanirithi kwenye kutuliza maumivu ya hawa wadhambi walioshindikana

Tutakaita kwa kifupi kama "Ceta" ili kukakwepesha na mbinu ovu za ibilisi na washirika wake
 
Suala la kuzaa ni suala la kufa na kupona. Of course huwezi elewa kwa sababu wewe kazi yako ni kukoj*a tu unaletewa mtoto...umeniudhi we babu
Shika adabu yako wewe. Kama ambavyo hakuna Kuku anayezaa, Pia Hakuna binadamu anaye zaa. Binadamu anajifungua....

Hivi wewe unaujua uchungu wa kutahiriwa au unazungumzia mikojo hii ya UTI??
 
Sasa habari za kutahiriwa wewe babu mimi zinanihusu nini? Nafaidikaje na kutahiriwa kwako? Tunatungumzia hii ya kuzaa au kujifungua (utajua mwenyewe )ambayo mimi naingia mimi leba kukutana uso kwa uso na mtoa roho halafu nikitoka na mtoto walimwengu wanasema mtoto wa Asprin
 
Sasa unadhani huyo mtoto utampata bila mimi kutahiriwa. Zingatia neno KUTAHIRIWA.

Hayo machungu unayapata wakati wa kujifungua nami niliyapata kwenye TOHARA.

Kaa kwa kutulia, linda mgongo wako.
 
😃😃😃😃
Kama mnataka kupigana tafuteni uzi wowote wa @tlah tlah mkapiganie huko mwanangu ataitwa Amani.
Sasa mimi na hako kajukuu kuna kupigana hapo? Sema kama ninataka kukapiga...

Ntakacharaza mijeledi mpaka kakome....

Nimesema mijeledi sio Bakora maana hiki kizazi cha sasa kina tafsiri za ki-AI
 
Thank you kipenzi... Japo mimi sio "Mkuu" mimi ni Babu.

Bila kujalisha jinsia ya kajukuu kajacho tafadhali tukabatize "Paracetamol" Ili baadae kaje kanirithi kwenye kutuliza maumivu ya hawa wadhambi walioshindikana

Tutakaita kwa kifupi kama "Ceta" ili kukakwepesha na mbinu ovu za ibilisi na washirika wake
Sawa babu.

Tuombe tu Ceta na mama Ceta tuvuke salama.
 
Back
Top Bottom