Sema amen vyote maana kufa ni faida na kuishi ni kristoAmen to living long 🙏
Mbona mwenzetu ulipiga kavu na sasa unasubiri kichanga ?10)UKIMWI BADO NI TISHIO.
Tumieni Condom mafuta ya nazi yatawaua
Wow 👌Amen.
Akimaliza tu kunyonya nawaletea mwali wenu mumuandae kuwa type ya mke mumtakae
Kila la heri, utapona na mtarudi salama wewe na mtoto
Sijamsahau.Umemsahau Binti wa zamani
Ni ushauri tu,ikikupendeza endelea kupiga kavu.Mbona mwenzetu ulipiga kavu na sasa unasubiri kichanga ?
Mungu akujaalie heri utoke thieta salama.
Upate mwana mwema
Na wewe uache sasa kutumia P2 na hayo manailoni...Wow 👌
Kumbe unaogopa kufa 😆😆Sema wewe on your behalf
Suala la kuzaa ni suala la kufa na kupona. Of course huwezi elewa kwa sababu wewe kazi yako ni kukoj*a tu unaletewa mtoto...umeniudhi we babuKwani kakuambia wanaumwa?
Mimba sio ugonjwa...