Kabla sijazaliwa Tanzania nilikuwa mzungu niliyeishi Marekani

Sishangai kabisa hata mm najua nilipo kuwa kabla ya kuzaliwa tz
Hiyo reincanation ila bahati yako umekumbuka wengi wetu hawakumbuki ndo maana unaona wana comment kwa kukebei
 
Kuna siku moja Pythagoras akiwa na wanafunzi wake akapita sehemu akaangua kilio kikubwa baada ya kuulizwa analia nini akasema anakumbuka kuwa aliwahi kuuwawa katika eneo hilo wakati alivyokuwa katika mwili wa warrior fulani miaka ya nyuma.

Roho hupata Uhuru wake pale mwili unapokufa halafu roho hiyo huwa migrated na kupandikizwa katika mwili mwingine na kisha kuendelea kuishi.
 
Janja ya nyani mjini utaingia kingi,
we hushangai feri meli inaelea inazama shilingi?
 
Inawezekana mkuu,fatilia tu,sema usisahau kutupa mrejesho ukifika ughaibuni ili nasisi tuanze kuzilitila maanani ndoto zetu

Cc mshana
 
Bishororo:
Tabia zako na jina lako ulilochagua linaweza likawa chanzo cha maruweruwe unayoyapata.

Ila unachokipitia ni jambo ambalo walimwengu na wanasayansi wameligundua kwa mara ya kwanza 90 na bado wanalifanyia utafiti. habari yako sio ya kwanza nimefuatilia similar issue nilishangaa kwa ufahamu nilioupata.

Unachotakiwa kufanya ni wewe kutoruhusu akili yako kungangania kilichoko akilini, ili usijeishi katika fikra ambazo sioza kiuhalisia
 
Tuache story nyingi, bongo maisha magumu sana, waonaje ukienda huko unakosema ukatafuta ndugu zako wakupige tafu kimaisha??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…