ANHAA KALE KAHINDI ETI?Dah! We umekopy ka story ka yule mtoto youtube kanako husu yeye kuzaliwa mara mbili
Wahaya bana
Bora umesema.Wahaya bana
[emoji3][emoji3][emoji3]Nyoko
Bwahahahaahaaahaaa![emoji2]kwa hiyo upo bongo bahati mbaya au sio ??
Yaani ni hatari,jani baya sana
Unacheza na stori za mabishororo vijiweni nn!Duuuuuuuh maajabu haya sasa
Umecheka alivotukana au[emoji3][emoji3][emoji3]
Kama ingekuwa hivi manake,idadi ya population isingechange, sasa kama population ya,dunia inaongezeka inamaana kuna mafisi wamamekufa na kuzaliwa watu
Nkajua umelala?Umecheka alivotukana au