Kabla Simba hajapigwa Zile 5 Kulikua na Trend ya Yanga Kufunga goli 5 kwenye Michezo ya Nyuma yake Msimu huo ni kama Msimu huu tu.

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Mashabiki wa Simba Mashabiki Simba nawaita Tena Simba jiandaen kalieni kusema Yanga ananunua match ila mnajisahau kwenye hili.

Muulizeni Mganga wenu hili kama analifanyia kazi?

Nenden mkajikumbushe games 5 za nyuma za Yanga kabla hajaja kuwapiga Zile 5 alikua anashinda Kwa goli ngapi ngapi?

Hapa mnaandaliwa kisaikolojia nawaambieni jiandaen mkicheza vibaya Babu kasema mtakula 6.

Tunaoelewa Mchezo huu tushaona Kuna mtu anakula chuma so chini ya 4.

I will be there.
 
Usiwasanue watashtuka
 
nisha jiandaa linaweza kutukuta jambo la aibu nmeangalia trend ya Yanga akitoka kushinda goli nyingi zinafuata chache then nyingi kwa hio Pamba ana ahueni atapigwa kidogo ila anae fuata baada ya Pamba kazi anayo
Wewe jamaa😂😂
 
Na beki yenu hiyo na kipa wanaovuja kama kotama ya gasho?

Simba siku hiyo tunakuja kama MC Algier, tunakuja kutafuta sare ili mambo yasiwe mengi. Tutawachezea kikubwa na kimkakati. Tunajua mtakuja kutafuta ushindi kwa namna yoyote ile maana sare haiwasaidii, na mkifunguka mnakutana na kiama.
 
Basi stake mil 10 upige mahela kwa uto kushinda na over 3.5.Utashangaa unaogopa ..aaah hapo ndio ujue za kuambiwa changanya na zwako.
 
Na beki yenu hiyo na kipa wanaovuja kama kotama ya gasho?

Simba siku hiyo tunakuja kama MC Algier, tunakuja kutafuta sare ili mambo yasiwe mengi. Tutawachezea kikubwa na kimkakati. Tunajua mtakuja kutafuta ushindi kwa namna yoyote ile maana sare haiwasaidii, na mkifunguka mnakutana na kiama.
Subiri kwanza mumalizane na Azam FC. Sare inaweza isiwasaidie labda sare ya nguo za harusi itawasitiri msiaibike zaidi siku hiyo.
 
Na beki yenu hiyo na kipa wanaovuja kama kotama ya gasho?

Simba siku hiyo tunakuja kama MC Algier, tunakuja kutafuta sare ili mambo yasiwe mengi. Tutawachezea kikubwa na kimkakati. Tunajua mtakuja kutafuta ushindi kwa namna yoyote ile maana sare haiwasaidii, na mkifunguka mnakutana na kiama.
Vipi bado mnakuja kutafta Sare?
 
Back
Top Bottom