THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Usiwasanue watashtukaMashabiki wa Simba Mashabiki Simba nawaita Tena Simba jiandaen kalieni kusema Yanga ananunua match ila mnajisahau kwenye hili.
Muulizeni Mganga wenu hili kama analifanyia kazi?
Nenden mkajikumbushe games 5 za nyuma za Yanga kabla hajaja kuwapiga Zile 5 alikua anashinda Kwa goli ngapi ngapi?
Hapa mnaandaliwa kisaikolojia nawaambieni jiandaen mkicheza vibaya Babu kasema mtakula 6.
Tunaoelewa Mchezo huu tushaona Kuna mtu anakula chuma so chini ya 4.
I will be there.
Kama marefa wangekua fair Simba ingekua nafasi ya 4 uo ndio ukweli.Kwa kweli Simba imebadilika kwa sehemu fulani, Yanga tunahitaji kuwa nao makini sana hawa jamaa.
WatakutukanaKama marefa wangekua fair Simba ingekua nafasi ya 4 uo ndio ukweli.
Sehemu iliyo badilika kwa Simba ni marefa kuipendelea.
Wewe jamaa😂😂nisha jiandaa linaweza kutukuta jambo la aibu nmeangalia trend ya Yanga akitoka kushinda goli nyingi zinafuata chache then nyingi kwa hio Pamba ana ahueni atapigwa kidogo ila anae fuata baada ya Pamba kazi anayo
Tuwaambie tu hatutaki Zile taarfa za Shabiki wa Simba Afariki kilipopigwa chuma Cha 6Usiwasanue watashtuka
Fanya simple research utaona hio kituWewe jamaa😂😂
Huu ndio ukweliKama marefa wangekua fair Simba ingekua nafasi ya 4 uo ndio ukweli.
Sehemu iliyo badilika kwa Simba ni marefa kuipendelea.
Acha uoga hamna kitu paleKwa kweli Simba imebadilika kwa sehemu fulani, Yanga tunahitaji kuwa nao makini sana hawa jamaa.
Subiri kwanza mumalizane na Azam FC. Sare inaweza isiwasaidie labda sare ya nguo za harusi itawasitiri msiaibike zaidi siku hiyo.Na beki yenu hiyo na kipa wanaovuja kama kotama ya gasho?
Simba siku hiyo tunakuja kama MC Algier, tunakuja kutafuta sare ili mambo yasiwe mengi. Tutawachezea kikubwa na kimkakati. Tunajua mtakuja kutafuta ushindi kwa namna yoyote ile maana sare haiwasaidii, na mkifunguka mnakutana na kiama.
Sijui bettingBasi stake mil 10 upige mahela kwa uto kushinda na over 3.5.Utashangaa unaogopa ..aaah hapo ndio ujue za kuambiwa changanya na zwako.
Vipi bado mnakuja kutafta Sare?Na beki yenu hiyo na kipa wanaovuja kama kotama ya gasho?
Simba siku hiyo tunakuja kama MC Algier, tunakuja kutafuta sare ili mambo yasiwe mengi. Tutawachezea kikubwa na kimkakati. Tunajua mtakuja kutafuta ushindi kwa namna yoyote ile maana sare haiwasaidii, na mkifunguka mnakutana na kiama.