Raisi Samia na Watanzania wengi wanajua huu ukweli kwamba uchaguzi wa 2020 haukuwa wa huru na wa haki.
Hivyo kabla ya uchaguzi wa 2025 Raisi atafanya kila jitihada kueleza huu ukweli kwasababu zifuatazo
1. Kutoa dhana ya uongo kwa wananchi walioamini Magu alipata 80% . Wote tunajua hii sio kweli ni utamaduni wa kujidanganya tu kwa wale wachache. Lakini Raisi Samia atawaandaa wananchi kwa hili. Ili akija kupata 55%~65% ionekane kawaida
2. Bila tume huru Chadema hawatashiriki uchaguzi. Hiki ni kitu ambacho Raisi Samia hataki kitokee kwasababu wapiga kura watakuwa kidogo sana tena baada ya sensa. Hivyo kama kutakuwa na Tume huru Rais Samia hawezi kupata zaidi ya 65% ya kura maana Chadema na ACT ni 40% kindakindaki.
3.Raisi Samia tofauti na Magu anaona bunge hili limepwaya sana. Hata kabla ya Ndugai kuondoka alikuwa analalamikia bunge kuwa halina mchango. Kila mtu sasa anajua faida wa wabunge wa upinzani
4. Raisi Samia kujifunza na ameona uchaguzi ulivyo haribu historia ya Magu na hata taka itokee hivyo kwake
5. Rais Samia hatapenda miaka mitano ya utawala wake ya mwisho itawaliwe na migogoro hivyo ni lazima uchaguzi aufanye kwa uhuru zaidi kuliko 2020.
6. Teknologia imesaidia sana wapinzani kiasi kwamba kudanganya wananchi hata wa kijijini itakuwa ngumu
7. Demokrasia kukuwa ni kukubali kushindwa Biden wa USA ana 45% pekee ingawa watu ambao wanahitaji kazi ni 3% tu! Kazi zipo nyingi US kuliko watu! Hii inaonyesha kukuwa kwa demokrasia ni pamoja na kushinda kwa asilimia ndogo
Kwa sababu hizi na viongozi wapya wanaojua siasa kama Kinana Raisi Samia atasema uchaguzi wa 2020 ulikiwa na wizi na haukuwa huru.
Pascal Mayalla