Kabla ya Babu wa Loliondo kulikuwa na Ngetwa

Kabla ya Babu wa Loliondo kulikuwa na Ngetwa

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,236
Reaction score
10,774
Kwa wale waliotumia hii dawa je ilikuwa ni ya kweli au ndo scam kama scam zingine?
1745743795613.jpg

Jana anasema ni dawa ya miti zaidi ya 12.
1745743792171.jpg
 
Traditional medicine ndio tiba sahihi ya uponyaji kuliko tiba za hospitali.

issue ni kupata mtu sahihi anayejuwa experiment sahihi za traditional medicine.
Kweli kabsa ila wengi wanatafuta pesa kupitia tiba
 
Kuna wimbo wa solid ground family waliitaja hii kitu sijui unaitwaje huo wimbo
Hahahahahaha naukumbuka,
Mechi kati ya kifo na timu ya uhai...
Timu ya kifo wachezaji ni magonjwa timu ya uhai wachezaji ni madawa ndo hao kina Ngetwa na Ngoka 11
Chorus wanaimba
"Na hii ni mechi kali kati ya timu ya kifo na timu ya uhai"
 
Kabla ya Ngetwa kulikuwa na MATUNGE na NGWIZIKULU JILALA
 
Ukitaka utajiri fungua duka la madawa....ngoja nitafute mtaji🤒
 
Kwa wale waliotumia hii dawa je ilikuwa ni ya kweli au ndo scam kama scam zingine?
View attachment 3317392
Jana anasema ni dawa ya miti zaidi ya 12.
View attachment 3317393
Unajua huyo mzee Ngetwa kama yupo hai yupo wapi tumkamate haraka kwani alitulisha magome ya miti yasiyo na faida isipokuwa madhara katika miili yetu. Mzee wangu alikuwa muumini wa Ngetwa kwa miaka takriban 10 lakini pengine hiyo dawa ndio ilimletea matatizo kiafya ikiwa ni pamoja na kidney failure. Unajua huyo mzee Ngetwa yupo wapi akamatwe aisee?
 
Back
Top Bottom