Na kabla ya ngetwa kulikua na ngooka 11 (ngooka eleven) 😝Kwa wale waliotumia hii dawa je ilikuwa ni ya kweli au ndo scam kama scam zingine?
View attachment 3317392
Jana anasema ni dawa ya miti zaidi ya 12.
View attachment 3317393
[emoji28][emoji28]hazina kipimo maalumTraditional medicine ndio tiba sahihi ya uponyaji kuliko tiba za hospitali.
issue ni kupata mtu sahihi anayejuwa experiment sahihi za traditional medicine.
Na akapata mtaa kabisa huko maramba2Watu wa liotajirika kwa tiba asili ni pamoja na huyu, na Ndodi.