Amri ya saba ya Mungu; usiibe
Hongereni sana ccm!
Hongereni sana kwa kumwacha Mungu
Hongereni kwa kumkumbatia 'yule mwovu'
Hongereni kwa viapo batili mnavyoapa navyo tena kwa kumtaja Mungu.
'Hasira ya Mungu itawaka juu yenu na juu ya nyumba zenu' asema Bwana.