Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Tuukatae vinginevyo watalazimisha uwekwe kwenye katiba mpyaMuungano wa ccm hauna tija yoyote.
Mungano uliopo utadumu zaidi na kuimarika zaidi na Tanzania itaendelea kua ni ya muungano daima...Kabla ya zoezi la kuandaa katiba mpya halijaanza, nivema tupige kura kuamua hatima ya muungano huu ambao kwa maoni yangu sioni kama una tija.
Baada ya kupiga kura ikitokea wananchi wamekataa muungano basi Watanganyika tuendelee na zoezi la kuunda katiba yetu, na wazanzibari watajua wenyewe chakufanya maana wao wana katiba yao.
Suala hili ni la muhimu sana tusije fanya kosa la kuunda katiba mpya inayo tambua muungano huu wa hapa na pale.
Hawa watawala hawawezi kukubali kura ya maoni khsu muungano wanajua wananchi wengi wataukataa muungano,subir Mungu akikupa umri sku watawala hawa watakapotolewa madarakani hayo unayopendekeza yatafanyikaKabla ya zoezi la kuandaa katiba mpya halijaanza, nivema tupige kura kuamua hatima ya muungano huu ambao kwa maoni yangu sioni kama una tija.