Familia za Makada na Viongozi wa Chadema ziko wap?
Watanzania wenzangu kabla ya kukubali na kufuata yale wanayopanga kufanya Chadema kwa Watanzania tujiulize hizi familia za viongozi na Makada wa Chadema wako wapi?
LISSU: Familia yake mke na watoto wapo Marekani, Wanasoma na Kuishi huko
LEMA: Familia yake ipo Canada
MBOWE: Familia yake mke yupo Uingereza na watoto wake wako Dubai
WENJE: Familia yake ipo Canada
MARIA SARUNGI: Amehamisha Makazi yake Kenya
MANGE KIMAMBI: Huyu familia yake ipo Marekani
Hawa wote wamehamishia familia zao nje ya Nchi wao wao wakiendeleza harakati za uchonganishi wa Watanzania kwa Serikali yao.
Je hamuoni kua hawa wanamaslai yao binafsi.
Ikiwa kweli wanauchungu na hayo madai yao kwanini uratibu wa haya maandamano wasilete familia zao ziwe mstari wa mbele kuandamana na kudai madai yao.
Watanzania wenzangu tusifuate mkumbo wa kuchonganishwa na Serikali katika jambo ambalo serikali kupitia kwa mkuu wa nchi ameshasema linafanyiwa kazi.
Ikumbukwe Madhara ambayo yatakayopatikana baada ya Hayo Maandamano Batili ni makubwa sana na huwenda yakakuletea shida.
Je, umejiandaa kukabiliana nayo? Una bima ya Afya kujitibu majeraha?
Kijana na Mtanzania Mwenzangu Tumia akili Usifate Mkumbo❗️
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea