Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Wewe ni zuzu tu hujielewi kama bado unatawaliwaWewe mwenye akili una impact gani? Huna mchango wowote kwa nchi zaidi ya kujaza mbolea na server za Jf tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni zuzu tu hujielewi kama bado unatawaliwaWewe mwenye akili una impact gani? Huna mchango wowote kwa nchi zaidi ya kujaza mbolea na server za Jf tu
Wewe ni zuzu tu hujielewi kama bado unatawaliwa
Sasa ndio nini wamefanya hao mababu zako unaowasifiaYes uliondoka ukoloni mkongwe umebaki wa wa weusi na akili
Sasa huoni hiyo ni fursa kwa hao vijana wasio na ajira kuwafikishia ujumbe wa matatizo yao watawala?kwanini kama wanataka.sapot ya maandamano kwanini wasianze familia zao kuwapa sapoti yaani watoto wao wakiungana na wazaz wao why vijana ambao hawana.ajira hata kesho yao hawaijui
Kama hawaandamani kwa ajili ya familia zao waende wakaandane Iceland ambako uhuru watu ni 100%Kwani mkuu watu wakiandamana ni kwaajili ya hizo familia?
Sasa ndio nini wamefanya hao mababu zako unaowasifia
Nafuu Gani wakati hao wakoloni weusi wamewaweka waoWana nafuu kuondoa waliowakera miaka hiyo kuliko hii generation ya kata k, inayoogopa hado vivuli vyao! Wakisubiri watoke kwa bongfleva, maigizo na bodaboda ajira kuu iliyoanzishwa na ccm
Nafuu Gani wakati hao wakoloni weusi wamewaweka wao
ajira ni global problems hao wanasiasa wanatumia hao vijana kwaajili ya maslahi yao binafsiSasa huoni hiyo ni fursa kwa hao vijana wasio na ajira kuwafikishia ujumbe wa matatizo yao watawala?
Ficha ujinga, kijana.
Serikali yako imefeli kutengeneza ajira, usijifiche kwenye global problem...ajira ni global problems hao wanasiasa wanatumia hao vijana kwaajili ya maslahi yao binafsi
Nawe hamisha familia yako, unaona wivu???😃😃 Ujinga ni mzigo, haya umesikika BUMUNDA!!Familia za Makada na Viongozi wa Chadema ziko wap?
Watanzania wenzangu kabla ya kukubali na kufuata yale wanayopanga kufanya Chadema kwa Watanzania tujiulize hizi familia za viongozi na Makada wa Chadema wako wapi?
LISSU: Familia yake mke na watoto wapo Marekani, Wanasoma na Kuishi huko
LEMA: Familia yake ipo Canada
MBOWE: Familia yake mke yupo Uingereza na watoto wake wako Dubai
WENJE: Familia yake ipo Canada
MARIA SARUNGI: Amehamisha Makazi yake Kenya
MANGE KIMAMBI: Huyu familia yake ipo Marekani
Hawa wote wamehamishia familia zao nje ya Nchi wao wao wakiendeleza harakati za uchonganishi wa Watanzania kwa Serikali yao.
Je hamuoni kua hawa wanamaslai yao binafsi.
Ikiwa kweli wanauchungu na hayo madai yao kwanini uratibu wa haya maandamano wasilete familia zao ziwe mstari wa mbele kuandamana na kudai madai yao.
Watanzania wenzangu tusifuate mkumbo wa kuchonganishwa na Serikali katika jambo ambalo serikali kupitia kwa mkuu wa nchi ameshasema linafanyiwa kazi.
Ikumbukwe Madhara ambayo yatakayopatikana baada ya Hayo Maandamano Batili ni makubwa sana na huwenda yakakuletea shida.
Je, umejiandaa kukabiliana nayo? Una bima ya Afya kujitibu majeraha?
Kijana na Mtanzania Mwenzangu Tumia akili Usifate Mkumbo❗️
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea
Familia za Makada na Viongozi wa Chadema ziko wap?

Kijana na Mtanzania Mwenzangu Tumia akili Usifate Mkumbo[emoji779]️
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea
Jitokeze ukipateBaba yako na babu yako wangekuwa na mawazo ya kijinga kama yako nchi hii ingekuwa bado mikononi kwa wakoloni. Siamini km hiki ni kizazi cha wapumbavu kuliko wazee waliotangulia mbele za haki! Wapumzike kwa amani
Wewe andamana tu1. Kwani kuandana ni kosa la jinai??
2. Katiba na sheria ya vyama vya siasa inasemaje kuhusu maandamano??
3. Kwa nini kumekuwa na hali ya serikali kuongopa maandamano?
4. Inaogopa nini wakati imeyawekea sheria na taratibu.
5. Je! Kwa nini jeshi la Polisi linasahau nani anawajibu wa kuharisha siyo kupiga marufuku maandamano.
6. Kwa nini wanayaita maandamano kuwa ni uhalifu wakati katiba na sheria inayapa uhalali
7. Kwa nini CCM na wapambe wake wanaogopa maandamano hadi kutishia usalama wa raia wengine??
8. Mbona mara zote tumeshuhudia maandano ya amani?
Kwanini sasa haya yanaonekana ni mwiba / haramu / uhalifu???
Nasubiri majibu / tujadili kwa hoja murua.
Jitokeze uandamane! Jeshi lipo imaraNawe hamisha familia yako, unaona wivu???😃😃 Ujinga ni mzigo, haya umesikika BUMUNDA!!
familia zao haituhusu sisi vijana tuko tayari kuandamana kwaajili ya taifa letu kutokomeza mauaji na utekaji wa hovyo hapa nchini,serikali ya sisiemu haijali maisha ya watanzaniaFamilia za Makada na Viongozi wa Chadema ziko wap?
Watanzania wenzangu kabla ya kukubali na kufuata yale wanayopanga kufanya Chadema kwa Watanzania tujiulize hizi familia za viongozi na Makada wa Chadema wako wapi?
LISSU: Familia yake mke na watoto wapo Marekani, Wanasoma na Kuishi huko
LEMA: Familia yake ipo Canada
MBOWE: Familia yake mke yupo Uingereza na watoto wake wako Dubai
WENJE: Familia yake ipo Canada
MARIA SARUNGI: Amehamisha Makazi yake Kenya
MANGE KIMAMBI: Huyu familia yake ipo Marekani
Hawa wote wamehamishia familia zao nje ya Nchi wao wao wakiendeleza harakati za uchonganishi wa Watanzania kwa Serikali yao.
Je hamuoni kua hawa wanamaslai yao binafsi.
Ikiwa kweli wanauchungu na hayo madai yao kwanini uratibu wa haya maandamano wasilete familia zao ziwe mstari wa mbele kuandamana na kudai madai yao.
Watanzania wenzangu tusifuate mkumbo wa kuchonganishwa na Serikali katika jambo ambalo serikali kupitia kwa mkuu wa nchi ameshasema linafanyiwa kazi.
Ikumbukwe Madhara ambayo yatakayopatikana baada ya Hayo Maandamano Batili ni makubwa sana na huwenda yakakuletea shida.
Je, umejiandaa kukabiliana nayo? Una bima ya Afya kujitibu majeraha?
Kijana na Mtanzania Mwenzangu Tumia akili Usifate Mkumbo❗️
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea
We ni mjinga mpuuzi sanaJitokeze uandamane! Jeshi lipo imara
Nyerere alipokuwa anatafuta uhuru alienda na watoto wake? Babake angekuwa CHAPUTA tusingepata hasara hii.kwanini kama wanataka.sapot ya maandamano kwanini wasianze familia zao kuwapa sapoti yaani watoto wao wakiungana na wazaz wao why vijana ambao hawana.ajira hata kesho yao hawaijui