Kabla ya kuandamana jiulize familia za viongozi wa CHADEMA ziko wapi?

kwanini kama wanataka.sapot ya maandamano kwanini wasianze familia zao kuwapa sapoti yaani watoto wao wakiungana na wazaz wao why vijana ambao hawana.ajira hata kesho yao hawaijui
Sasa huoni hiyo ni fursa kwa hao vijana wasio na ajira kuwafikishia ujumbe wa matatizo yao watawala?
Ficha ujinga, kijana.
 
Sasa ndio nini wamefanya hao mababu zako unaowasifia

Wana nafuu kuondoa waliowakera miaka hiyo kuliko hii generation ya kata k, inayoogopa hado vivuli vyao! Wakisubiri watoke kwa bongfleva, maigizo na bodaboda ajira kuu iliyoanzishwa na ccm
 
Kati ya Askari wanaozuia maandamano tafuta watoto wa IGP, wakuu wa mikoa, wabunge, au viongozi waandamizi wa CCM kama utawakuta.

Majenerali huwa hawapigani vita. Halafu si lazima watoto wa viongozi wa CHADEMA nao pia wawe ni wanachama wa CHADEMA.
 
Nawe hamisha familia yako, unaona wivu???😃😃 Ujinga ni mzigo, haya umesikika BUMUNDA!!
 

1. Kwani kuandana ni kosa la jinai??
2. Katiba na sheria ya vyama vya siasa inasemaje kuhusu maandamano??
3. Kwa nini kumekuwa na hali ya serikali kuongopa maandamano?
4. Inaogopa nini wakati imeyawekea sheria na taratibu.
5. Je! Kwa nini jeshi la Polisi linasahau nani anawajibu wa kuharisha siyo kupiga marufuku maandamano.
6. Kwa nini wanayaita maandamano kuwa ni uhalifu wakati katiba na sheria inayapa uhalali
7. Kwa nini CCM na wapambe wake wanaogopa maandamano hadi kutishia usalama wa raia wengine??
8. Mbona mara zote tumeshuhudia maandano ya amani?
Kwanini sasa haya yanaonekana ni mwiba / haramu / uhalifu???

Nasubiri majibu / tujadili kwa hoja murua.
 
Baba yako na babu yako wangekuwa na mawazo ya kijinga kama yako nchi hii ingekuwa bado mikononi kwa wakoloni. Siamini km hiki ni kizazi cha wapumbavu kuliko wazee waliotangulia mbele za haki! Wapumzike kwa amani
Jitokeze ukipate
 
Wewe andamana tu

Hasara kwa wazazi wako
 
familia zao haituhusu sisi vijana tuko tayari kuandamana kwaajili ya taifa letu kutokomeza mauaji na utekaji wa hovyo hapa nchini,serikali ya sisiemu haijali maisha ya watanzania
 
kwanini kama wanataka.sapot ya maandamano kwanini wasianze familia zao kuwapa sapoti yaani watoto wao wakiungana na wazaz wao why vijana ambao hawana.ajira hata kesho yao hawaijui
Nyerere alipokuwa anatafuta uhuru alienda na watoto wake? Babake angekuwa CHAPUTA tusingepata hasara hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…