Kabla ya kuandamana jiulize familia za viongozi wa CHADEMA ziko wapi?

Tukienda kwenye maandamano wewe kakae ukapige stori
 
Huna fact kwenye hili. Wengi hapa wanajua why walipeka familia nje, hawakupenda ila baada ya kuwakuta yalio wakuta walizipeleka kwa usalama wao.

Siwatetei. Tu a viongozi wa ccm tena seniour wana familia ziko nje? Tuanze kuwaandama why zipo nje.

Maandamano si kwa ajili ya chadema ni kwa ajili ya wananchi wenyewe, mifumo ibadilike na taasisi husika ziwajibike kwa yanayotokea
 
Hii hoja ni ya wasio na elimu na akili. Kwani lazima watoto wao waandamane? Mbona sisi tunaenda, watoto tunaacha nyumbani?
 
Jitokeze uandamane! Jeshi lipo imara
Siku babako au ndugu yako wa damu, akibinywa PUMBU, akitekwa akili zako za kwenye makalio,zitakurejea.

Ni ujinga kuwadharau watu wanazotaka kuandamana kwa amani kupinga matendo maou ya kuuana na kutekana.
Ni upumbavu kutoona madhara yake!!!


Namna yako ya kuwaza , ni Bora WAZAZI WAKO WANGEFUGA NGURUWE KULIKO KUSOMESHA MTU KAMA WEWE 😅😅 shame on you dude!!!
 
Sababu Ina maana huijui we Kenge.
Unajifanya unahuruma Kenge nyie,acheni kuwa raia.
Hao woote uliowataja mnawafanyia usenge mchana kweupe,je familia zao si zingekuwa zimeshateketezwa Kenge wewe
 
Sioni tija ya hayo maandamano maana serikali imeshatoa tamko kua LINAFANYIWA KAZI sasa wanaokaza fuvu wanataka kuandamana inatia shaka kwamba kuna agenda nyingine
Huna akili. Hasara kwa familia na taifa.
 
Familia zoa zinatuhusu nini, serikali iwajibike kulinda haki ya kila mtanzania
 
Pungwani wa head!
Watoto wa 2000 mnashida sana, huna adabu
 
Sidhani kama akilo yako iko sawa. Unadhani tunaandamana kwa sababu ya Mbowe au CHADEMA au vyama vya upinzani? Tunaandamana kwa sababu ya yule mama aliyepo kule kijijini ambaye anateseka na huduma ya maji, Tunaandamana kwa ajili ya kina mama wajawazito wanaokosa huduma bora za afya, tunaandamana kwa ajili ya watoto walionyimwa bima ya afya, vijana waliokosa ajira, utawala wa hovyo unaokosesha amani watanzania, utekaji n.k

Mtanzania yeyote mwenye akili timamu anapaswa kuunga mkono maandamano haya!
 
COMRED KWANI WEWE UNAANDAMANA

SASA MASWALI YA NINI SIWAACHE MKUU
 
Kuondoka kwa kura haiwezekani kwa sababu ya katiba mbovu na Tume hovyo ya Uchaguzi, Njia pekee ya Samia must go ni maandsmano yasiyo na kikomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…