Kabla ya kuandamana jiulize familia za viongozi wa CHADEMA ziko wapi?

Familia zao sisi hazituhusu....

Watu tunaangalia sababu ya kuandamana huku tukiwa na mabango yaliyoandikwa "SAMIA MUST GO" kama zipo au la, za kweli ama la...baasi...

Hilo halina shaka kabisa kuwa;

1. Sababu zipo, Polisi wakishirikiana na TISS wanateka na kuua wananchi wenzetu bila sababu na kinyume cha sheria kwa maelekezo na baraka zote za Rais Samia. Kwa hiyo, SAMIA MUST GO TO KIZIMKAZI - ZANZIBAR atuachie Tanganyika yetu salama..

2. Ni za kweli na hakika tupu kuwa kwa matukio hayo huku yeye akitoa kauli za kejeli na dharau dhidi ya waathirika wa mauaji hayo, ni ushahidi kuwa hafai na nafasi ya u - Rais haimtoshi asilani. Kwa hiyo SAMIA MUST GO TO KIZIMKAZI - ZANZIBAR atuachie Tanganyika yetu salama...

3. Nia tunayo na wako determined kwelikweli....

4. Above ni kuwa, sheria na katiba zinaruhusu watu kuizomea na kui - rebuke serikali katili iliyoshindwa kulinda utu na uhai watu huku ikikumbatia magaidi na majambazi ya kidola.....

#SAMIA MUST GO........#SAMIA SULUHU HASSAN MUST GO....!!
 
Wewe uchawa unaoufanya unaufanya na familia yako yote?.Au ni akili za kijinga tu umezileta hapa hadharani.
 
Kitu unachokosa ni hiki.

Kwani watu wanaandamana kwa sababu ya familia ya hao uliowataja?

Je umesikia familia zao au ndugu zao wametekwa?

Hivi unajua ni kwa nini familia zao zipo huko ulipotaja? Ni jambo la kujivunia?

Tutakaokataa na kugoma kwenye keyboard ndio tunaotekwa na kupotezwa.

Tumia utashi wako ukari kimya, upaze sauti au uandamane yote yawe ni matashi binafsi.
 
Kabla ya kukaa nyumbani ,wakati umepigika, huna mbele wala nyuma ,jiulize iweje watu wenye huakika wa milo 10 kwa siku wapo mstari wa mbele kupigania haki
 
Nakukumbusha,,, iepushe familia yako na maumivu utakayoisababishia hapo kesho

Kama ni jobless, kaa ndani

Wengine tutaenda kazini kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…