Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Anzisha kombe lakoHuu ni utaratibu mzuri ambao unatumika UEFA Champios League, ambapo timu iliyoshika nafasi ya 3 kombe la UEFA Champions League hucheza play offs na timu zilizoshika nafasi ya pili kombe la Europa League...
Kila mtu ashiriki ligi yake kulingana na viwango vyakeHuu ni utaratibu mzuri ambao unatumika UEFA Champios League, ambapo timu iliyoshika nafasi ya 3 kombe la UEFA Champions League hucheza play offs na timu zilizoshika nafasi ya pili kombe la Europa League....
Au ikiwezekana, ahamie huko kwenye hiyo Europa League. Maana hakuna namna nyingine ya kumsaidia.Anzisha kombe lako
Halafu yanga icheze na simba [emoji41]Huu ni utaratibu mzuri ambao unatumika UEFA Champios League, ambapo timu iliyoshika nafasi ya 3 kombe la UEFA Champions League hucheza play offs na timu zilizoshika nafasi ya pili kombe la Europa League
Hata CAF walitakiwa kufanya utaratibu huu ili kuzichuja timu vizuri
Mfano Monastir ilitakiwa kucheza na Horoya kwenye Play offs na mshindi ndio aingie robo fainali
Maana Horoya ilionyesha kiwango bora sana kuliko timu yoyote ya Shirikisho
Unaumia ukiwa Kijiji ganiKabisa,maana hili kombe wanaloshiriki UTO limekuwa kama TAMASHA LA VILAZA ,FAIRULE
ukitaka kuwapatia na kuwakomesha hawa CAF anzisha kombe lako mzee hayo mambo yatakuwa rahisi sana aiseeHuu ni utaratibu mzuri ambao unatumika UEFA Champios League, ambapo timu iliyoshika nafasi ya 3 kombe la UEFA Champions League hucheza play offs na timu zilizoshika nafasi ya pili kombe la Europa League
Hata CAF walitakiwa kufanya utaratibu huu ili kuzichuja timu vizuri
Mfano Monastir ilitakiwa kucheza na Horoya kwenye Play offs na mshindi ndio aingie robo fainali
Maana Horoya ilionyesha kiwango bora sana kuliko timu yoyote ya Shirikisho
Mwanaume kweli anaanzia ugeniniKabisa,maana hili kombe wanaloshiriki UTO limekuwa kama TAMASHA LA VILAZA ,FAIRULE
Mbona mna hasira sana?Au ikiwezekana, ahamie huko kwenye hiyo Europa League. Maana hakuna namna nyingine ya kumsaidia.