Wanarudia script ile ile, kuingiza hofu, kutangaza ubabe ili watu warudi nyumaKinachoendelea sasa ni kufuja pesa kwa kila mtu na kukusanya watu wakila aina wakijifanya wanakemea maandamano.
Usijeshangaa kutaibuka kila umoja sijui wa wapi,umoja wa nini,mpaka umoja waokota makopo.
Mfano ni huu na nani anawatuma.View attachment 3612403
Hiii ndo sura halisi ya CCM na serikali yake... Wana survive kwa ulaghai.Kinachoendelea sasa ni kufuja pesa kwa kila mtu na kukusanya watu wakila aina wakijifanya wanakemea maandamano.
Usijeshangaa kutaibuka kila umoja sijui wa wapi,umoja wa nini,mpaka umoja waokota makopo.
Mfano ni huu na nani anawatuma.View attachment 3612403