Kabla ya kukubali kuolewa soma hapa dada yangu ujiridhishe

Kabla ya kukubali kuolewa soma hapa dada yangu ujiridhishe

Ndoa huwa na amani furaha na baraka pia kudumu kwa mambo mawili tu hekima na ufahamu.
Ukiona mtu anachepuka kwenye ndoa huyu kakosa viwili hivyo
 
Huu Uzi utawachanganya zaidi wanawake wasijue wapi pa kudondokea.
 
Nikue mara ngapi tena ndugu Johnny, kuoa/kuolewa sio taji. Ukweli ni kwamba 'me ambao umri umeenda, na ikatokea wanatafuta mwenza huwa ni sababu za ubinafsi kuwa atapata nini kutoka kwenye mahusiano/ndoa hiyo. Show zimeanza kushuka viwango, mwili si kama ule wa enzi zile, afya inaleta taharuki. Kwanini asijipatie binti mdogo ambaye haelewi maisha akamtunza.
Kwa kusema hivi, nawaasa mabinti wachunguze kwa makini wanapokutana na kundi hili la watu. Wasipofushwe kuwa eti ooh, ni mtu mzima ana ekspriensi ya maisha sijui mapenzi. Hatasumbua sasa ameamua kutulia. Ni kwamba tu hana uwezo wa kukusumbua zaidi ya emotional au financial abuse
Binti funguka, kataa ndoa na watu wazima. Same applies kwa mapenzi yenye gap kubwa kiumri 🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu atawaburuza sana Kwa akili hizi.....
 
Back
Top Bottom