Nikue mara ngapi tena ndugu Johnny, kuoa/kuolewa sio taji. Ukweli ni kwamba 'me ambao umri umeenda, na ikatokea wanatafuta mwenza huwa ni sababu za ubinafsi kuwa atapata nini kutoka kwenye mahusiano/ndoa hiyo. Show zimeanza kushuka viwango, mwili si kama ule wa enzi zile, afya inaleta taharuki. Kwanini asijipatie binti mdogo ambaye haelewi maisha akamtunza.
Kwa kusema hivi, nawaasa mabinti wachunguze kwa makini wanapokutana na kundi hili la watu. Wasipofushwe kuwa eti ooh, ni mtu mzima ana ekspriensi ya maisha sijui mapenzi. Hatasumbua sasa ameamua kutulia. Ni kwamba tu hana uwezo wa kukusumbua zaidi ya emotional au financial abuse
Binti funguka, kataa ndoa na watu wazima. Same applies kwa mapenzi yenye gap kubwa kiumri ๐โโ๏ธโโก๏ธ๐โโ๏ธโโก๏ธ๐โโ๏ธโโก๏ธ๐โโ๏ธโโก๏ธ๐โโ๏ธโโก๏ธ