johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Au pia waweza kusema vyama vya upinzani vipianzishwa ili kuwa kama "watchdog"Vyama vya upinzani ulianzishwa kuwa kama catalyst ya serikali kufanya kazi na kutokujisahau.
Huna hata aibu, eti maendeleo hayana vyama wakati spika hajasema ile kauli ya jana ifutwe.Tuanzie pale bungeni je wapinzani huwa wanaunga mkono hoja za serikali ya CCM?
Kwenye mabaraza ya madiwani je wapinzani wanashirikiana na CCM kuleta maendeleo?
Tukijiridhisha ndio tutaona umuhimu wa kuongozwa na wabunge wa "chama tawala" ili kukoleza kasi ya maendeleo.
Nawatakia Eid Mubarak
Maendeleo hayana vyama!
Tuanzie pale bungeni je wapinzani huwa wanaunga mkono hoja za serikali ya CCM?

Inaonyesha hata kazi au majukumu ya Vyama ya Upinzani hujui toka lini chama cha Upinzani kikatekeleza Ilani ya Chama Tawala? Kwa Tanzania labda vyama tanzu na ccm kama vile Tlp Cuf Udp na Nccr ,Ccm kwa sasa inatekeleza Ilani ya Chadema ndio maana utawasikia viongozi wanasema Vyote walivyosema Chadema Ccm imetekeleza.Tuanzie pale bungeni je wapinzani huwa wanaunga mkono hoja za serikali ya CCM?
Kwenye mabaraza ya madiwani je wapinzani wanashirikiana na CCM kuleta maendeleo?
Tukijiridhisha ndio tutaona umuhimu wa kuongozwa na wabunge wa "chama tawala" ili kukoleza kasi ya maendeleo.
Nawatakia Eid Mubarak
Maendeleo hayana vyama!
Tuanzie pale bungeni je wapinzani huwa wanaunga mkono hoja za serikali ya CCM?
Kwenye mabaraza ya madiwani je wapinzani wanashirikiana na CCM kuleta maendeleo?
Tukijiridhisha ndio tutaona umuhimu wa kuongozwa na wabunge wa "chama tawala" ili kukoleza kasi ya maendeleo.
Nawatakia Eid Mubarak
Maendeleo hayana vyama!
Hii haiondoi ukweli kwamba Rais wetu ni mbaguzi wa dhahiriTuanzie pale bungeni je wapinzani huwa wanaunga mkono hoja za serikali ya CCM?
Kwenye mabaraza ya madiwani je wapinzani wanashirikiana na CCM kuleta maendeleo?
Tukijiridhisha ndio tutaona umuhimu wa kuongozwa na wabunge wa "chama tawala" ili kukoleza kasi ya maendeleo.
Nawatakia Eid Mubarak
Maendeleo hayana vyama!
Bwege anatekeleza ilani ya chama gani bwashee?Inaonyesha hata kazi au majukumu ya Vyama ya Upinzani hujui toka lini chama cha Upinzani kikatekeleza Ilani ya Chama Tawala? Kwa Tanzania labda vyama tanzu na ccm kama vile Tlp Cuf Udp na Nccr ,Ccm kwa sasa inatekeleza Ilani ya Chadema ndio maana utawasikia viongozi wanasema Vyote walivyosema Chadema Ccm imetekeleza.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!Hii haiondoi ukweli kwamba Rais wetu ni mbaguzi wa dhahiri
Kuna mkoa wenye maendeleo halisi kama Kilimanjaro blicha ya kuwa chini ya upinzani mda mrefu? Naelewa sasa kwa nini inatumika nguvu kubwa kumpamba kwa misifa fake kumbe ni kujaribu kuficha aibu ya udhaifu na uovu wakeTuanzie pale bungeni je wapinzani huwa wanaunga mkono hoja za serikali ya CCM?
Kwenye mabaraza ya madiwani je wapinzani wanashirikiana na CCM kuleta maendeleo?
Tukijiridhisha ndio tutaona umuhimu wa kuongozwa na wabunge wa "chama tawala" ili kukoleza kasi ya maendeleo.
Nawatakia Eid Mubarak
Maendeleo hayana vyama!
Hivi kazi za bunge na wabunge siku hizi imekuwa kutekeleza ilani za vyama na kufanya kazi za serikali badala ya kutunga sheria na kujisimamia serikali,naomba kujuzwaTuanzie pale bungeni je wapinzani huwa wanaunga mkono hoja za serikali ya CCM?
Kwenye mabaraza ya madiwani je wapinzani wanashirikiana na CCM kuleta maendeleo?
Tukijiridhisha ndio tutaona umuhimu wa kuongozwa na wabunge wa "chama tawala" ili kukoleza kasi ya maendeleo.
Nawatakia Eid Mubarak
Maendeleo hayana vyama!
Na kweli maana anasema kile kiujazacho moyo wake....Chuki. kwa hili hata Mungu atampenda kwa kutokuwa muongo.Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!
Hahahaaaa....... Bunge linapitisha miswada kuwa sheria.Hivi kazi za bunge na wabunge siku hizi imekuwa kutekeleza ilani za vyama na kufanya kazi za serikali badala ya kutunga sheria na kujisimamia serikali,naomba kujuzwa
Na serikali inasimamiwa ili ifanye nini?Hahahaaaa....... Bunge linapitisha miswada kuwa sheria.
Kazi za mbunge ni pamoja na kuchochea maendeleo ya jimbo lake!
Mkuu umelewa pilau ya Eid?Tuanzie pale bungeni je wapinzani huwa wanaunga mkono hoja za serikali ya CCM?
Kwenye mabaraza ya madiwani je wapinzani wanashirikiana na CCM kuleta maendeleo?
Tukijiridhisha ndio tutaona umuhimu wa kuongozwa na wabunge wa "chama tawala" ili kukoleza kasi ya maendeleo.
Nawatakia Eid Mubarak
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu hii ya kuchochea maendeleo ni kwa mujibu wa katiba yetu au ilani ya ccmHahahaaaa....... Bunge linapitisha miswada kuwa sheria.