Kabla ya kulaumu tujiulize Je, wabunge wa upinzani wanatekeleza Ilani ya uchaguzi ya CCM?

johnthebaptist wacha uhuni, watanzania kila moja wetu tunatimiza mipango ya nchi. Kama kuna chama cha kisiasa kinadhani nchi ni mali yake sisi wananchi tutatafakari against! Sisi wananchi siyo mali ya chama cha kisiasa kiasi kwamba tuonekane tunahamasishwa na vyama vya kiasisa kutekeleza agenda zao.
 
Kati ya watu wanaoanzisha mada urojo na wewe ni miongoni, ukifuatiwa na Kawe Aluminium a.k.a BIA YETU 😂.
 
Yohana mbatizaji, mfumo wa vyama vingi unaendeshwa hovyo hapa Tz . Mfano

Kilikuwa na halmashauri kadhaa walizoshinda vyama vingine na si Ccm. Je hizi halmashauri kudhibitiwa na serikali kuu zisitekeleze ilani zao ukweli uko wapi ?!.

Mtu moja anapokuwa wa kuridhia maendeleo yapelekwe wapi , ni democracy ya aina gani ?!. Mfumo na katiba vina kasoro, lakini nafikiri wananchi nao wanadhani kila kitu kipo kwenye maamuzi ya Rais
 
utakuta na wew ni mteuliwa wa hii serikali. Pumbafu kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…