Kabla ya kuleta hizi tozo Serikali pesa ilikuwa inatoa wapi?

Kabla ya kuleta hizi tozo Serikali pesa ilikuwa inatoa wapi?

ndenjii handsome

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2021
Posts
647
Reaction score
706
Hebu tufikirie kwa kina hili swala haiwezekani kwa nchi ya watu maskini kama Tanzania kuwawekea wananchi wako hizi tozo

Kwanini tuendelee kumkandamiza mwananchi tozo kwa kizingizio cha kusema hela inaelekezwa kwenye miladi hii miladi mnayosemea mwanzon pesa mlikuwa mnatoa wapi?

Maana nikisikiliza bunge la mwaka 2020 kurudi nyuma utakuta maneno kama haya "serikali imetenga kias kazaa kwa ajili barabara, hospital, nk nk

Sasa kwanini leo tuseme pesa inaenda kwenye barabara sijui zahanati.

Ningependa kujua hili mimi kama mwananchi wa kawaida zile hela za mwanzo mlizitoa wapi?

Na zinaenda wapi?

Ikiwa serikali ni hiihii viongozi ni walewale
 
Walkuwa wanaWanyang'anya matajiri, hivo wamebadili tu aina ya unyang'anyi.
 
Walipa kodi wa Maulaya nao wamechoka kuchangia maendeleo yenu, ... wanataka fweza yao iwasaidie kutatua matatizo yao ambayo ni mengi pia!
 
Back
Top Bottom