Kabla ya kuleta hizi tozo Serikali pesa ilikuwa inatoa wapi?

Wameshaongea kule ya kwamba mabeberu sasa hayatoi msaada, yanataka bizinezi.........kwa hiyo tunyang'anyane hizi hizi tulizonazo mfukoni, baada ya kujenga vituo 255 vya afya, tozo ya mwezi huu inaenda kujenga madarasa 500, mimi ni mjumbe siuwawi..........
 
Hivyo vituo vya afya 500 vilivyojengwa kila kata. Mbona havitajwi kwa majina na kata zao?
Tumepigwa wakuu.
 
Wameshaongea kule ya kwamba mabeberu sasa hayatoi msaada, yanataka bizinezi.........kwa hiyo tunyang'anyane hizi hizi tulizonazo mfukoni, baada ya kujenga vituo 255 vya afya, tozo ya mwezi huu inaenda kujenga madarasa 500, mimi ni mjumbe siuwawi..........
Lakini nchi haijapata uhuru 2020 kusema ndio kwanza inakua kiuchumi
 
Wameshaongea kule ya kwamba mabeberu sasa hayatoi msaada, yanataka bizinezi.........kwa hiyo tunyang'anyane hizi hizi tulizonazo mfukoni, baada ya kujenga vituo 255 vya afya, tozo ya mwezi huu inaenda kujenga madarasa 500, mimi ni mjumbe siuwawi..........
Wewe unakubaliana na uongo wa Mwigulu Nchemba? Those are just propagandas za kuwachamganya Watz! Huo ni uongo na ulaghai wa mchana kweupe!! Hueezi kujenga vituo 255 kwa tozo za miamala ya mwexi 1 wa Agosti !!Hivi huyu Dr. Uchumi uchwara tukimwuliza atonement hivo vituo ataweza?
Lakini pia hata haya madarasa 500 kwa tozo za Septemba ni hewa na hata yatajengwa hayatafika 500!!
Dr. Mwigul na jamaa zake CCM WANATAFUTA HELA NDEFU YA POSHO YA VIKAO VYA BUNGE PALE IDODOMYA. Full stop.
 
Ni kweli mkuu na haya ndio madhara ya kubeba jambo bila kufikiria
 
Wewe unakubaliana na uongo wa Mwigulu Nchemba? Those are just propagandas za kuwachamganya Watz! Huo ni uongo na ulaghai wa mchana kweupe!! Hueezi kujenga vituo 255 kwa tozo za miamala ya mwexi 1 wa Agosti !!Hivi huyu Dr. Uchumi uchwara tukimwuliza atonement hivo vituo ataweza?
Lakini pia hata haya madarasa 500 kwa tozo za Septemba ni hewa na hata yatajengwa hayatafika 500!!
Dr. Mwigul na jamaa zake CCM WANATAFUTA HELA NDEFU YA POSHO YA VIKAO VYA BUNGE PALE IDODOMYA. Full stop.
Hahahaha............jamaa wanajificha kwenye namba hewa, naona kuna harufu ya mgao mwingine mithili ya ule wa pesa ya mboga pale tegeta eskroooo.
 
Nasaiz kageukia kwenye royal tour hahaha nchi hiyi
Nchi hii haina Wachumi wala Tax collectors!! Mijitu imekaa hofcin inapigwa viyoyozi na kuwaza namna ya KUWADHULUMU WATZ KWA TOZO ZA MIAMALA, MAJENGO NA BEI ZA MAFUTA YA PETROL NA DIESELI KANA KWAMBA NJI HII HAINA VYANZO VINGINE VYA MAPATO, Hii ndiyo shida ya Elimu za kughushi.
Mtu anajiita Daktari kumbe THESIS KAANDIKIWA AU KA- COPY&PASTE!!!
 
Back
Top Bottom