Kabla ya kuleta hizi tozo Serikali pesa ilikuwa inatoa wapi?

Kabla ya kuleta hizi tozo Serikali pesa ilikuwa inatoa wapi?

Nchi hii haina Wachumi wala Tax collectors!! Mijitu imekaa hofcin inapigwa viyoyozi na kuwaza namna ya KUWADHULUMU WATZ KWA TOZO ZA MIAMALA, MAJENGO NA BEI ZA MAFUTA YA PETROL NA DIESELI KANA KWAMBA NJI HII HAINA VYANZO VINGINE VYA MAPATO, Hii ndiyo shida ya Elimu za kughushi.
Mtu anajiita Daktari kumbe THESIS KAANDIKIWA AU KA- COPY&PASTE!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Wameshaongea kule ya kwamba mabeberu sasa hayatoi msaada, yanataka bizinezi.........kwa hiyo tunyang'anyane hizi hizi tulizonazo mfukoni, baada ya kujenga vituo 255 vya afya, tozo ya mwezi huu inaenda kujenga madarasa 500, mimi ni mjumbe siuwawi..........
[emoji28][emoji1][emoji3][emoji2]
 
Wanatamani tuwe maskini hadi Yesu arudi na hili genge liko ikulu mara hii mbona wote wezi maarufu sana kuanzia na huyo hadi jk&co
 
Ukishaona ukimya wa muda kuhusu kinachoendelea huko kwenye madini jiulize kuna nini? Wakati wa JPM isingewezekana kupita muda bila kusikia kitu kinacho endelea kwenye rasilimali madini. Hakuna wakina Laizer na mapande yao ya Tanzanite?

Kumegundulika huu mgodi mpya unaoitwa tozo ambao fuel yake ni jasho la Watanzania, tuandike maumivu. Mh Rais kasema leo na tumemsikia tozo hatarudi nyuma zitakuja mkipiga kelele mtaambulia ahueni ya 30%. Tangu JPM atwaliwe hamna wawekezaji wa madini tena Tanzania? Hamna magawio? Makanikikia ilikuwa ni ndoto au nikitu kilitokea wakati flani hapa Tanzania au yalitwaliwa kama JPM? Kinachosikika kwa sasa ni kufukizana kwa ule mushi wa mwenge tu.
 
Hebu tufikirie kwa kina hili swala haiwezekani kwa nchi ya watu maskini kama Tanzania kuwawekea wananchi wako hizi tozo

Kwanini tuendelee kumkandamiza mwananchi tozo kwa kizingizio cha kusema hela inaelekezwa kwenye miladi hii miladi mnayosemea mwanzon pesa mlikuwa mnatoa wapi?

Maana nikisikiliza bunge la mwaka 2020 kurudi nyuma utakuta maneno kama haya "serikali imetenga kias kazaa kwa ajili barabara, hospital, nk nk

Sasa kwanini leo tuseme pesa inaenda kwenye barabara sijui zahanati.

Ningependa kujua hili mimi kama mwananchi wa kawaida zile hela za mwanzo mlizitoa wapi?

Na zinaenda wapi?

Ikiwa serikali ni hiihii viongozi ni walewale
Hapo mwanzo wahisani (mabeberu) walikua wanatusaidia sana,walitupa misaada kedekede!!..Tukawatukana na kuwafedhehesha!!....Tumepanda uchumi wa Kati !!...sasa hivi wanataka watupe mikopo ya kibiashara sio bure tena!!!..sasa kama inachukua mkopo wa biashara alafu unajenga reki, unanunua madege,huku bwawa la umeme!!... Unadhani utarudisha vipi fedha ulizokopa?!!..Ndio sasa inabidi watanzania wote tulipe hakuna kukaa Nyuma!!!... CCM MBELE KWA MBELE
 
[emoji51]
 
Hebu tufikirie kwa kina hili swala haiwezekani kwa nchi ya watu maskini kama Tanzania kuwawekea wananchi wako hizi tozo

Kwanini tuendelee kumkandamiza mwananchi tozo kwa kizingizio cha kusema hela inaelekezwa kwenye miladi hii miladi mnayosemea mwanzon pesa mlikuwa mnatoa wapi?

Maana nikisikiliza bunge la mwaka 2020 kurudi nyuma utakuta maneno kama haya "serikali imetenga kias kazaa kwa ajili barabara, hospital, nk nk

Sasa kwanini leo tuseme pesa inaenda kwenye barabara sijui zahanati.

Ningependa kujua hili mimi kama mwananchi wa kawaida zile hela za mwanzo mlizitoa wapi?

Na zinaenda wapi?

Ikiwa serikali ni hiihii viongozi ni walewale
Kwani imesema pesa hazipo? Mahitaji yanapungua? Watoto 900,000 la kwanza mwakani miaka yote walikuwepo idadi hiyo?

Na bado endeeni kuzaana.
 
Hoja yako haina nguvu kabisa hapa! Em kaa na tulia kisha tafakari na uandike hoja iliyoshiba kidogo kama Great Thinker..

Ni kwamba saiz mahitaji yanaongezeka watu wanaongezeka tunalalamika Elim walim hakun madarasa madg , Vituo Vya afya vchache wauguz hakun , barabara znahitajika miji inakua sas tukisema tukomae na makusanyo yale yale ya awali hatuwez fika inabid serikal nayo iongeze ukusanyaji
 
Ukishaona ukimya wa muda kuhusu kinachoendelea huko kwenye madini jiulize kuna nini? Wakati wa JPM isingewezekana kupita muda bila kusikia kitu kinacho endelea kwenye rasilimali madini. Hakuna wakina Laizer na mapande yao ya Tanzanite?

Kumegundulika huu mgodi mpya unaoitwa tozo ambao fuel yake ni jasho la Watanzania, tuandike maumivu. Mh Rais kasema leo na tumemsikia tozo hatarudi nyuma zitakuja mkipiga kelele mtaambulia ahueni ya 30%. Tangu JPM atwaliwe hamna wawekezaji wa madini tena Tanzania? Hamna magawio? Makanikikia ilikuwa ni ndoto au nikitu kilitokea wakati flani hapa Tanzania au yalitwaliwa kama JPM? Kinachosikika kwa sasa ni kufukizana kwa ule mushi wa mwenge tu.
Viongozi wengine kazi yao ni kujaza vyoo vya Ikulu tu
 
Baba Askofu Benson Lwakalinda Bagonza anauliza

NAOMBA MSAADA

Nahitaji msaada wenu wasomaji wangu:

1. Hivi mwizi akikuibia hela yako halafu akaitumia kukununulia nguo au chakula, kosa la wizi linakuwa limeisha?

2. Mwizi akikuibia shilingi 100 ukapiga kelele akakurudishia 30 na kubaki na 70, unapaswa kumshukuru kuwa ni mwema?

3. Na kiongozi wako akikukuta unafanya biashara ili upate fedha ya kulipia karo na matibabu, akafunga biashara yako na hela akakunyanganya na kukujengea zahanati na shule, anakuwa amekutendea haki?

TOZO TOZO
LUKU LUKU

VYOTE NI KANDAMIZI. HATULIPI KWA HIARI BALI MNACHUKUA KWA NGUVU. MIILI YETU MNAYO, MIOYO TUMEBAKI NAYO.
 
Walipa kodi wa Maulaya nao wamechoka kuchangia maendeleo yenu, ... wanataka fweza yao iwasaidie kutatua matatizo yao ambayo ni mengi pia!
Hili ndo jibu sahihi. Na mikopo yao muwalipe watatue kero zao.
Baada ya hapo kama hawataki kulipa kodi; wasilalamike kua hakuna umeme, maji, hospitali, shule, barabara, walimu, madawati, madawa, n.k kila mmoja afe na tai yake shingoni.
 
Hoja yako ni mzuri sana.

Tusubiri majibu kutoka kwa wadau
Majibu ni kwamba pesa zilipatikana kwenye nishahara ya watumishi kiasi ambacho wangeongezewa mishahara, pia pesa ajira, pesa za mifuko ya hifadhi za jamii mf.pssf , pesa za vyama vya wafanyakazi hadi CWT ,TUGHE NK wakakosa pesa za sare siku ya meimosi, pesa zingine zilipatikana kwa kupora matajiri kwa kutekwa nakupewa vitisho ili watoe pesa, yaan pesa zilipatikana kiharamu haramu ili tu wananchi walio batizwa unyonge wamshangilie bwana yule. Hivyo ndivyo pesa zilivyo patikana

Kumbuka watumishi wa umma jumla wapo laki 8 hivi hivyo ukisema upandishe wote madaraja tuchukue wasta wa tsh 120,000/ x watumishi laki 8 ni sawa na tsh Bilioni 96 kila mwezi nahapo tunaambiwa kiasi kilicho tumika kupandisha watumishi mishahara ni tsh 160 bilioni sasa nadhan umejua ni wapi pesa zilipatikana za kuwafurahusha walio itwa wanyonge kwa kuwaumiza watumishi wa umma na wafanya biashara na matijiri. Hapo bado zilizo kuwa zina kwapuliwa psssf ,nssf na vyama vya wafanyakazi sasa mama hayo mambo hataki ndio maana karudisha pesa kila zinapo takiwa kuwepo na nchi ijengwe na watanzania wote sio kundi dogo la watu wauumie huku kundi kubwa likifurahia kundi dogo linavyo umizwa
 
Back
Top Bottom