Ndio tatizo lililopoHivyo vituo vya afya 500 vilivyojengwa kila kata. Mbona havitajwi kwa majina na kata zao?
Tumepigwa wakuu.
Lakini nchi haijapata uhuru 2020 kusema ndio kwanza inakua kiuchumiWameshaongea kule ya kwamba mabeberu sasa hayatoi msaada, yanataka bizinezi.........kwa hiyo tunyang'anyane hizi hizi tulizonazo mfukoni, baada ya kujenga vituo 255 vya afya, tozo ya mwezi huu inaenda kujenga madarasa 500, mimi ni mjumbe siuwawi..........
Ndio ninaoo shangaaKikwete nae alikuwa ananyang'anya matajiri?
Na kwanin tutegemee misaada unatangaza tozo hapohapo unakopa tena why ?Walipa kodi wa Maulaya nao wamechoka kuchangia maendeleo yenu, ... wanataka fweza yao iwasaidie kutatua matatizo yao ambayo ni mengi pia!
Hahahaha mkuuNi msoma comments tu naona na yeye kaamua kuongeza idadi ya comments..
JK alikuwa na akili snKikwete nae alikuwa ananyang'anya matajiri?
maza hajui hata anafanya nini?Na kwanin tutegemee misaada unatangaza tozo hapohapo unakopa tena why ?
Hapo ndo mimi na wewe tupigwe na butwaa kama wale waheshimiwa pale mjengoni walivyopigwa na butwaa kuhusu hasara ya mabilioni inayotengenezwa na ATCL......Lakini nchi haijapata uhuru 2020 kusema ndio kwanza inakua kiuchumi
Wananchi tumepigwamaza hajui hata anafanya nini?
Yupo yupo tuWananchi tumepigwa
Mi nazan ingemfaa awe muimba taarabu wa kitaifa maana ndio secta inayomfa hata ukiangalia ongea yake huu urais hauwez kwakweli ila kwa kuwa ishakuwa hatuna jinsYupo yupo tu
Ndiyo maana amegeukia maigizoMi nazan ingemfaa awe muimba taarabu wa kitaifa maana ndio secta inayomfa hata ukiangalia ongea yake huu urais hauwez kwakweli ila kwa kuwa ishakuwa hatuna jins
Ndiyo maana amegeukia maigizoMi nazan ingemfaa awe muimba taarabu wa kitaifa maana ndio secta inayomfa hata ukiangalia ongea yake huu urais hauwez kwakweli ila kwa kuwa ishakuwa hatuna jins
Wewe unakubaliana na uongo wa Mwigulu Nchemba? Those are just propagandas za kuwachamganya Watz! Huo ni uongo na ulaghai wa mchana kweupe!! Hueezi kujenga vituo 255 kwa tozo za miamala ya mwexi 1 wa Agosti !!Hivi huyu Dr. Uchumi uchwara tukimwuliza atonement hivo vituo ataweza?Wameshaongea kule ya kwamba mabeberu sasa hayatoi msaada, yanataka bizinezi.........kwa hiyo tunyang'anyane hizi hizi tulizonazo mfukoni, baada ya kujenga vituo 255 vya afya, tozo ya mwezi huu inaenda kujenga madarasa 500, mimi ni mjumbe siuwawi..........
Ni kweli mkuu na haya ndio madhara ya kubeba jambo bila kufikiriaWewe unakubaliana na uongo wa Mwigulu Nchemba? Those are just propagandas za kuwachamganya Watz! Huo ni uongo na ulaghai wa mchana kweupe!! Hueezi kujenga vituo 255 kwa tozo za miamala ya mwexi 1 wa Agosti !!Hivi huyu Dr. Uchumi uchwara tukimwuliza atonement hivo vituo ataweza?
Lakini pia hata haya madarasa 500 kwa tozo za Septemba ni hewa na hata yatajengwa hayatafika 500!!
Dr. Mwigul na jamaa zake CCM WANATAFUTA HELA NDEFU YA POSHO YA VIKAO VYA BUNGE PALE IDODOMYA. Full stop.
Nasaiz kageukia kwenye royal tour hahaha nchi hiyiNdiyo maana amegeukia maigizo
Hahahaha............jamaa wanajificha kwenye namba hewa, naona kuna harufu ya mgao mwingine mithili ya ule wa pesa ya mboga pale tegeta eskroooo.Wewe unakubaliana na uongo wa Mwigulu Nchemba? Those are just propagandas za kuwachamganya Watz! Huo ni uongo na ulaghai wa mchana kweupe!! Hueezi kujenga vituo 255 kwa tozo za miamala ya mwexi 1 wa Agosti !!Hivi huyu Dr. Uchumi uchwara tukimwuliza atonement hivo vituo ataweza?
Lakini pia hata haya madarasa 500 kwa tozo za Septemba ni hewa na hata yatajengwa hayatafika 500!!
Dr. Mwigul na jamaa zake CCM WANATAFUTA HELA NDEFU YA POSHO YA VIKAO VYA BUNGE PALE IDODOMYA. Full stop.
Nchi hii haina Wachumi wala Tax collectors!! Mijitu imekaa hofcin inapigwa viyoyozi na kuwaza namna ya KUWADHULUMU WATZ KWA TOZO ZA MIAMALA, MAJENGO NA BEI ZA MAFUTA YA PETROL NA DIESELI KANA KWAMBA NJI HII HAINA VYANZO VINGINE VYA MAPATO, Hii ndiyo shida ya Elimu za kughushi.Nasaiz kageukia kwenye royal tour hahaha nchi hiyi