wasumu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 2,271
- 2,065
Nyuki ni wazuri sana kwa kuwahutupa asali ila nyuki huyo huyo ukishindwa kufuata tahadhari anaweza kukuua kukupofusha macho au mambo kama hayo mengi sana .Nduguyenu nimekuja na code muhimu sana kwa wanaume ili waishi vizuri na wapenzi wao au wanawake wote kiujumla na hizi code ndio kuishi nao kiakili ...
code number one[msaada wa kisaikolojia)
mwanamke yeyote anahitaji kuliwazwa kwa maneno mazuri ya upendo oooh sweet i love u mambo kama hayo ili umtibu saikolojia yake hautakiwi kusema au kusonya mbele ake ukatezwa uanawake wake utapata tabu tu .
Code numbe two [ anahitaji msaada wa kifedha )
ili uishi kwa raha na mwanamke mpe msaada wa kifedha hata akikuomba ndege mpe katika maisha yako hutakiwi kumwambia mwanamke huna pesa wewe mpe tumaini
code number Three ( msaidie katika masuala yake ya kiroho )
msaidie wewe ndiemchungaji wake mpe maono ya kiroho akue mwanamke anamjua Mungu kupitia mwanaume
....kumbuka ukifeli kipengele kimoja umefeli kote usije kulaumu ishi nao kwa akili ili upate asali na utamu wa mwanamke
a word is enough for wise ..