Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
Ukipigwa pia uje tena kutupa fomula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah naelewa Kuna wanawake hata akiambiwa uongo( kupambwa kwa sifa za uongo) kichwa kinajaa, mm imenishinda hiyoHakuna mwanaume mkweli sasa...
Labda kavulana kachanga cute
🤣🤣🤣Unaona kabisa unadanganywa ila unavumiliaYeah naelewa Kuna wanawake hata akiambiwa uongo( kupambwa kwa sifa za uongo) kichwa kinajaa, mm imenishinda hiyo
mke na mume hawana pesa wala chakula ndani kama mume wanapiga magoti wakiwa na mke wake wanasali ooh Mungu tunaomba utupe pesa za kujikimu .wamemaliza mwanamke ambaye anajua wametoka kusali anasema Baba nani naomba hela nikanunue vitu eeh wewe na ulokole wako utafanyaje unaweza ukapaniki eeeh saikolojia ya wanawake ni ngumu kuijua kama umetanguliza kujiuliza mujimu tanguliza upendo na tumainiHapa kwenye uongo mm mnitoe😅 kuwa real , usinipe sifa ambazo Sina Huwa najua unafake, Bora useme sifa nilizonazo hata kama 1 kuliko sifa 10 nikijua zote ni uongo na kunipamba tu.
🤣 Kabsaa dear ila ndo unauchuna na Asante kibaooo🤣🤣🤣Unaona kabisa unadanganywa ila unavumilia
🤣🤣🙌🤣 Kabsaa dear ila ndo unauchuna na Asante kibaooo
Hakuna mwanaume mkweli sasa...
Labda kavulana kachanga cute
naomba nkufariji na kukudanganya at the same time 😃Hakika,tunapenda maneno yenye kufariji na yenye uongo ndani yake 🤒
🤣Ina maana mpaka leo halijapatikana jibu la jinsi ya kuishi na wanawake?.
Wanaume kila siku tunahangaika kuwadiscuss wanawake, lakini wenyewe wala hawana habari na sisi.
Sasa huo si unafiki au🤣🤣🤣Unaona kabisa unadanganywa ila unavumilia
Ndiyo maisha yenyewe mkuuSasa huo si unafiki au