Kabla ya kunyonya sehemu za siri za mpenzi wako jiulize maswali haya

Kabla ya kunyonya sehemu za siri za mpenzi wako jiulize maswali haya

Wale tunaonyonywa ila hatunyonyi pia hatuna akili au tunazo?
 
Habari zenu Wakuu wangu,

Kwenye ulimwengu wa sasa kumekuwa na tabia ya wapenzi kunyonyana tupu zao wawapo faragha. Kiukweli hii tabia imekuwa ni kama jambo la kawaida kwa vijana wengi wa hovyo including wazee wa hovyo pia.

Leo Mjanja M1 ninakuletea maswali unayopaswa kujiuliza kabla ya kunyonya tupu ya mpenzi wako. Maswali yenyewe ni haya yafuatayo,

1) Ninaponyonya pameumbwa kwa kazi gani

2) Ninachofanya kina madhara kiafya

3) Ninaponyonya pameingiliwa na watu wangapi

4) Imani yangu inaruhusu ninachofanya

5) Nikipatwa na maradhi itakuaje

6) Hivi nina akili kweli

Ukijiuliza maswali hayo na ukajijibu basi matokeo ya unachofanya yapo juu yako na familia yako.

Mjanja M1 kwasasa napatikana Washington Dc [emoji631]

Ukisema ujiulize ivo bas pia jiulize unakulaje mbog ya mama ntilie iliyotengenezwa na mkono wa kushoto ambao hua unatumika kutawaz mk**ndu wake na kushida dudu ya bwana wake ndo huo huo anatumia kukutengenezea kachumbali na juice yako, ahsante
 
Nyonya usinyonye ila gundua Kuna wanyonyaji out there hawajali ni mtaro au nn wao nikulamba tu na kama mpenzi wako anataka kulambwa atalambwa no mara waaa
 
Back
Top Bottom