Tambukareli
Member
- May 8, 2020
- 35
- 64
Kutokana na misimamo yake na itikadi kali za kisiasa kama ikitokea Tundu lissu akapitishwa na chama chake(CHADEMA)kuwania Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2020 kwa bahati mbaya akashindwa;
Je, atakuwa tayari kukubaliana na matokeo hayo ya uchaguzi?
Je, misimamo yake na itikadi zake kisiasa baada ya kushindwa Urais haiwezi kuchochea chuki na kuingiza Taifa kwenye machafuko ya kisiasa?
Je, Serikali kupitia vyombo vyake vya ulinzi na usalama ikiwemo idara nyeti vitakubali huyu mtu kuwania Urais wa JMT?
Tujadili kwa mtazamo chanya na maslahi mapana ya nchi yetu.