Uchaguzi 2020 Kabla ya kupitishwa kuwa mgombea tujiulize haya kuhusu Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Kabla ya kupitishwa kuwa mgombea tujiulize haya kuhusu Tundu Lissu

1. Hata akipinga matokeo atakuwa anatimiza haki yke kikatiba.

2. Kuhisi kwako kwamba itikadi zake za kisiasa baada ya kushindwa uchaguzi zinaweza kuchochea chuki na kuingiza Taifa kwenye machafuko ndio kunakoweza sababisha chuki na machafuko.

3. Kuna vigezo vya kutimiza ili uweze gombea urahisi; kama Kikatiba ametimiza vyote hakuna namna serikali inaweza mzuia unless waamue kuvunja katiba.
Very good comment
 
Kutokana na misimamo yake na itikadi kali za kisiasa kama ikitokea Tundu lissu akapitishwa na chama chake(CHADEMA)kuwania Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2020 kwa bahati mbaya akashindwa;

Je, atakuwa tayari kukubaliana na matokeo hayo ya uchaguzi?

Je, misimamo yake na itikadi zake kisiasa baada ya kushindwa Urais haiwezi kuchochea chuki na kuingiza Taifa kwenye machafuko ya kisiasa?

Je, Serikali kupitia vyombo vyake vya ulinzi na usalama ikiwemo idara nyeti vitakubali huyu mtu kuwania Urais wa JMT?

Tujadili kwa mtazamo chanya na maslahi mapana ya nchi yetu.
Tanzanua aina historia ya kuongozwa na wendawazimu!
 
Back
Top Bottom