Tambukareli
Member
- May 8, 2020
- 35
- 64
Baadhi ya mambo inabidi vyombo viingilie kwa maslahi ya nchi kitendo cha kuyaacha yakatendeka kinaweza kugharimu taifaKwaiyo unataka Vyombo vya Dola ndo viseme huyu agombee, huyu hapana?
Kwani kama haki haijatendeka , kuna suluhu ipi zaidi ya kumwaga mboga ?Kutokana na misimamo yake na itikadi kali za kisiasa kama ikitokea Tundu lissu akapitishwa na chama chake(CHADEMA)kuwania Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2020 kwa bahati mbaya akashindwa;
Je, atakuwa tayari kukubaliana na matokeo hayo ya uchaguzi?
Je, misimamo yake na itikadi zake kisiasa baada ya kushindwa Urais haiwezi kuchochea chuki na kuingiza Taifa kwenye machafuko ya kisiasa?
Je, Serikali kupitia vyombo vyake vya ulinzi na usalama ikiwemo idara nyeti vitakubali huyu mtu kuwania Urais wa JMT?
Tujadili kwa mtazamo chanya na maslahi mapana ya nchi yetu.
Ccm ina rundo la mafisadi , je hivyo vyombo haviwaoni hao watu ?Baadhi ya mambo inabidi vyombo viingilie kwa maslahi ya nchi kitendo cha kuyaacha yakatendeka kinaweza kugharimu taifa
Baadhi ya mambo inabidi vyombo viingilie kwa maslahi ya nchi kitendo cha kuyaacha yakatendeka kinaweza kugharimu taifa
Kama aliyeko hajaleta mapigano, basi na Lisu hatayaleta!e, misimamo yake na itikadi zake kisiasa baada ya kushindwa Urais haiwezi kuchochea chuki na kuingiza Taifa kwenye machafuko ya kisiasa?
PumbavuuuKutokana na misimamo yake na itikadi kali za kisiasa kama ikitokea Tundu lissu akapitishwa na chama chake(CHADEMA)kuwania Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2020 kwa bahati mbaya akashindwa;
Je, atakuwa tayari kukubaliana na matokeo hayo ya uchaguzi?
Je, misimamo yake na itikadi zake kisiasa baada ya kushindwa Urais haiwezi kuchochea chuki na kuingiza Taifa kwenye machafuko ya kisiasa?
Je, Serikali kupitia vyombo vyake vya ulinzi na usalama ikiwemo idara nyeti vitakubali huyu mtu kuwania Urais wa JMT?
Tujadili kwa mtazamo chanya na maslahi mapana ya nchi yetu.
Kumbe umelogwa na YESU wa TanzaniaBaadhi ya mambo inabidi vyombo viingilie kwa maslahi ya nchi kitendo cha kuyaacha yakatendeka kinaweza kugharimu taifa
Jibu hoja kwa hoja matusi yako hayasaidii kituPumbavuuu
Kutokana na misimamo yake na itikadi kali za kisiasa kama ikitokea Tundu lissu akapitishwa na chama chake(CHADEMA)kuwania Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2020 kwa bahati mbaya akashindwa;
Je, atakuwa tayari kukubaliana na matokeo hayo ya uchaguzi?
Je, misimamo yake na itikadi zake kisiasa baada ya kushindwa Urais haiwezi kuchochea chuki na kuingiza Taifa kwenye machafuko ya kisiasa?
Je, Serikali kupitia vyombo vyake vya ulinzi na usalama ikiwemo idara nyeti vitakubali huyu mtu kuwania Urais wa JMT?
Tujadili kwa mtazamo chanya na maslahi mapana ya nchi yetu.
Wewe unaonaje??Kutokana na misimamo yake na itikadi kali za kisiasa kama ikitokea Tundu lissu akapitishwa na chama chake(CHADEMA)kuwania Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2020 kwa bahati mbaya akashindwa;
Je, atakuwa tayari kukubaliana na matokeo hayo ya uchaguzi?
Je, misimamo yake na itikadi zake kisiasa baada ya kushindwa Urais haiwezi kuchochea chuki na kuingiza Taifa kwenye machafuko ya kisiasa?
Je, Serikali kupitia vyombo vyake vya ulinzi na usalama ikiwemo idara nyeti vitakubali huyu mtu kuwania Urais wa JMT?
Tujadili kwa mtazamo chanya na maslahi mapana ya nchi yetu.
Baadhi ya mambo inabidi vyombo viingilie kwa maslahi ya nchi kitendo cha kuyaacha yakatendeka kinaweza kugharimu taifa
Kutokana na misimamo yake na itikadi kali za kisiasa kama ikitokea Tundu lissu akapitishwa na chama chake(CHADEMA)kuwania Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2020 kwa bahati mbaya akashindwa;
Je, atakuwa tayari kukubaliana na matokeo hayo ya uchaguzi?
Je, misimamo yake na itikadi zake kisiasa baada ya kushindwa Urais haiwezi kuchochea chuki na kuingiza Taifa kwenye machafuko ya kisiasa?
Je, Serikali kupitia vyombo vyake vya ulinzi na usalama ikiwemo idara nyeti vitakubali huyu mtu kuwania Urais wa JMT?
Tujadili kwa mtazamo chanya na maslahi mapana ya nchi yetu.
Acheni uoga kwa mtu mmoja enyi mataga.Kutokana na misimamo yake na itikadi kali za kisiasa kama ikitokea Tundu lissu akapitishwa na chama chake(CHADEMA)kuwania Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2020 kwa bahati mbaya akashindwa;
Je, atakuwa tayari kukubaliana na matokeo hayo ya uchaguzi?
Je, misimamo yake na itikadi zake kisiasa baada ya kushindwa Urais haiwezi kuchochea chuki na kuingiza Taifa kwenye machafuko ya kisiasa?
Je, Serikali kupitia vyombo vyake vya ulinzi na usalama ikiwemo idara nyeti vitakubali huyu mtu kuwania Urais wa JMT?
Tujadili kwa mtazamo chanya na maslahi mapana ya nchi yetu.
Kwa nini visikubali? Huyu si mtanzania kama wengine? By the way, hivi ni vyombo vya ulinzi na usalama na sio tume ya uchaguzi. Tume ndio inaweza kumwengua kama itaona hajakidhi vigezoJe, Serikali kupitia vyombo vyake vya ulinzi na usalama ikiwemo idara nyeti vitakubali huyu mtu kuwania Urais wa JMT?
Kwa nini achochee kama haki itatendeka? Lakini isipotendeka haki atadai tu dhamira yake ikimtuma kufanya hivyoJe, misimamo yake na itikadi zake kisiasa baada ya kushindwa Urais haiwezi kuchochea chuki na kuingiza Taifa kwenye machafuko ya kisiasa?