bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Kabla ya huo mwanzo hakukuwa na Mwanzo"Hapo mwanzo mungu aliumba mbingu na nchi" na tumefundishwa Mungu hana mwanzo.
Sasa kabla ya kuumba ulimwengu mungu alikua anafanya kazi gani?
Fungua akili yako nikupe mfano......."Hapo mwanzo mungu aliumba mbingu na nchi" na tumefundishwa Mungu hana mwanzo.
Sasa kabla ya kuumba ulimwengu mungu alikua anafanya kazi gani?
hatujaambiwa hicho kitu kutokana hatukuwepo"Hapo mwanzo mungu aliumba mbingu na nchi" na tumefundishwa Mungu hana mwanzo.
Sasa kabla ya kuumba ulimwengu mungu alikua anafanya kazi gani?