Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
hahahahahakwani Leo anafanya nini??
nani anajua yaani we bujiii nimekumisssssssssss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahakwani Leo anafanya nini??
na hayaitaji hasira!!View attachment 348176haya mambo yanachanganya
Unaelewa nini kuhusu neno Roho as used from Bible? Please I repeat, as per bible, do not quote another book.Hv kweli roho inaweza kufanya hayo uliyoyataja???? Be serious bro
Naona umekariri misemo kwamba kila chenye mwanzo hakikosi mwisho.Mkuu unajichanganya mara useme hana mwanzo wala mwisho alafu unasema tena yy ndo ameuanzisha mwanzo. Alafu unasahau Kila chenye mwanzo kina mwisho
Mpaka Biblia Takatifu Yesu alisema kuwa "Katika Nyumba ya Baba yangu kuna malimwengu (dunia) mengi" uthibitisho kwamba maisha hayako duniani tu
Naona umekariri misemo kwamba kila chenye mwanzo hakikosi mwisho.
Swali dogo tu
Kwa hiyo unaamini dunia na vyote vilivyopo kuna siku vitafikia mwisho wake?
Hapo naona una-force king bhana... hebu angalia English version inasemaje kuhusu hiyo Aya cuz Malimwengu na Ulimwengu ni vitu viwili tofauti! Malimwengu ni yale mambo yanayotokea ulimwengu na kwa kawaida sio yale ya kuvutia!
Kwa mfano, ukikuta mtu analia peke yake; unaweza kumuuliza kulikoni lakini asikupe sababu akaishia tu kusema "ni malimwengu tu kakangu!"
View attachment 348176haya mambo yanachanganya
nimeiona hii kichwa kimeanza kuniuma!View attachment 348176haya mambo yanachanganya
Kwanini alituumba na free will sasa?Mungu hachunguziki!!mwacheni aitwe Mungu
Hata udongo ulijua kuwa kiumbe mwanadamu atakuja kufanya ufedhuli juu ya mgongo wa ardhiKwa hiyo Mungu mjua yote?
1. Kwa nini hakujua binadamu aliemfanya kwa mfano wake atamgeuka ??
2.Imeandika Mungu anasubiri subiri kwanza kabla ya kushusha hukumu yake sababu huenda watu wengine watabadilika na kumgeukia yeye..haaa kumbe hana uhakika nani wake au sio wake.
Nimekuambia weka English version tuone neno lililotumika lakini kinyume chake mara oh Kichaga, mara Kisambulu... maneno mengi ya nini?! Hatufanyi ligi hapa jombaa bali kupeana darsa kama nilivyokupa darsa hapo kabla kwamba malimwengu na ulimwengu ni vitu viwili tofauti-- hutaki endelea na ignorance yako!!Ndio maana 'waswahili' tunageuza maneno ya Kiswahili kile kile hivyo kushindwa hata kujifunza pale penye elimu.
Hayo mambo ya sijui English, Arabic, Chinese, Spanish versions unayaleta wewe na hata kama ni version ya kilugha (kuna Biblia ya Kichaga, Kihaya nk) bado haiondoi kuwa Yesu alikuwa anaongelea 'mahala' (place) na sio hali (state) nk.
Hivyo ni wazi Alimaanisha sehemu ambapo binadamu (wafuasi wake) wanaweza kuwa baada ya hapa duniani.
Kwani hzo sayar nyingine kuna viumbe pia aliviumba??Kwani unadhani Mungu kazi yake inahusu hii dunia tu? Ana mengine mengi ya kufanya nje ya msayari huu wa dunia