KWA KUANZIA, Kwa sababu umeanza kwa ku quote maandiko ya bibilia tutakujibu kibiblia pia, ila kama ungeuliza kikawaida tungejaribu kukujibu kikawaida ( kimwili au sayansi ya kufikirika).
longi mapexa ametoa mchango mzuri kabisa ila kuongeza. Mungu ni roho, yeye ahijali physical world in kuweza ku exist,
biblia inaposema hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi ( Mwanzo 1:1) biblia inazungumzia mwanzo wa physical universal na earth ( mbingu sio mbinguni its universal na nchi ni earth). ukiangalia katika mstari wa 14 Mungu akatengeneza nyota, mstari wa 16 akafanya jua na mwezi.
Ok !! ukiangalia katika uumbaji hapa hakuna mahali Mungu anaongelea kuhusu malaika, lakini walikuwepo. Kama nilivyo sema kuwa Mungu ni Roho, na malaika pia ni Roho , wao hawahitaji physical universal ili kuwepo, kwahiyo dunia na universal viliubwa au vilipewa mwanzo kwaajili ya physical being ( viumbe hai). Kwa hiyo kabla ya kuumbwa au kabla ya kuwepo dunia yetu na anga na vilivyomo, Mungu alikuwepo na malaika walikuwepo.
OK! Alikuwa anafanya nini? Kazi kubwa ya malaika ni kumwabudu Mungu kama alivyochangia
Usedcountrynewpipo , swali kwanini Mungu alimuumba Mwanadamu? Mungu alimuumba mwanamu ili mwanadamu amwabudu Mungu.