Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaangalia uumbaji wake.kabla ya kuumba atakua alikua anaboreka sababu uumbaji wake unamsumbua sana.kwani Leo anafanya nini??
Kwa hiyo Mungu mjua yote?Kabla ya kuumba ulimwengu Mungu alijua kuwa siku ya leo utaanzisha hii thread.
OK!! Nimejaribu kutiririka Kiroho hapo juu.we buana acha kumsumbua mshana jr bure, yeye mstue kwenye mambo ya majin,uchawi na uganga
Sasa mbona hatuoni mungu akiumbwa hapo mwanzo?kama hakukua na mwanzo basi hakukua na kitu chochote.Kabla ya huo mwanzo hakukuwa na Mwanzo
ni kweliOK!! Nimejaribu kutiririka Kiroho hapo juu.
Mungu Hana Mwanzo wala Mwisho hivyo huo Mwanzo ni yeye aliyeuanzisha na Mwisho wa Dunia pia anaujua yeye lakini aliapa kuwa hapatakuwa tena na Wakati(Mwanzo na Mwisho) baada ya huu kwani walio wake watakuwa pamoja naye kwenye umileleSasa mbona hatuoni mungu akiumbwa hapo mwanzo?kama hakukua na mwanzo basi hakukua na kitu chochote.
"Hapo mwanzo mungu aliumba mbingu na nchi" na tumefundishwa Mungu hana mwanzo.
Sasa kabla ya kuumba ulimwengu mungu alikua anafanya kazi gani?