Kabla ya kuumba ulimwengu Mungu alikua anafanya nini?

Hahahahahahahahaaha
 

Mzee usije chukulia mistari ya biblia au quran ku-prove vitu vya kisayansi,utaonekana kichaa....biblia na quran,nk ni vitabu vya stori za kufikirika
 
hebu fikria unatokewa na mtu alokuumba na kuumba sayar zote na ulimwengu naskia zamn ilikuwa ni rahsi sana kuonana MUNGU sio sasa

Duh,ulisikia?.....ni stori tu,hakuna cha kweli proven hapo....no human being has ever seen God,no one...ni wehu tu wana claim...Musa nae ni fraud tu,hakumuona mungu,aliona moto supposedly,na moto sio mungu ni moto literally...

Bible is full of lies...Musa yupo milimani mwenyewe,mwandika stori utadhani alikuwepo hapo,while Musa alikua peke yake with no one,who the https://jamii.app/JFUserGuide saw all those?How can we believe Musa alone,he was a weak human being just like u and me,he can lie 100%....these stories are fabrications..na nina haki ya kua na wasiwasi,ni haki yangu na sijafanya kosa lolote...huyu mwanadamu nimuamini kwa lipi hasa?
 
Mzee usije chukulia mistari ya biblia au quran ku-prove vitu vya kisayansi,utaonekana kichaa....biblia na quran,nk ni vitabu vya stori za kufikirika

Hapana mkuu, tumeingia kwenye matatizo makubwa kwa sababu ya hizi superstitions. Proof iliyopo ni kwamba kufuata dini bila proof za kisayansi ndio matokeo yake inaitwa 'dogma' ...yaana kama zile story za Wasabato masalia au wale 'mashabiki' wa mabinti bikra. Na kufuata sayansi bila dini ndio materialists na ukomunisti ulioshindwa. Hivi vitu yaani sayansi na dini vinapaswa kwenda hand in hand.
 
Apa naona maroboti yanajiuliza kabla ya binadam kuyaumba binadam huyo alikuwa anafikilia nn.eeehhh kwan mambo mengine binafsi hayapo
 
Hapa nipo against na wewe kabisa maswala ya dini na sayansi hayawezi yakaenda pamoja kwa asilimia nyingi tu, huwezi tumua vitabu vya dini kuthibitisha ishu za sayansi maana hata huko kwenye vitabu vya dini kuna mambo mengi tu ambayo yapo kinyume na sayansi kwa vitu ambavyo vimethibitika kuwa ni kweli, binafsi siwezi kuchanganya dini na sayansi hata kidogo kwa sababu naviona ni vitu ambavyo vina conflict sana.Mfano unaona ishu Kama ya hapo chini ilivyo na conflict.


 
Daaaahhhh huko ndiko jf buana... Maswali mengine buana!!
 
"Hapo mwanzo mungu aliumba mbingu na nchi" na tumefundishwa Mungu hana mwanzo.

Sasa kabla ya kuumba ulimwengu mungu alikua anafanya kazi gani?
Alikuwa anafanya usivyovijua na ambayo hujawaza bado!

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…