Mimi nikusifu kwa jinsi unavyoupigania barabara hii, nia yako itatimizwa Mungu ni mkubwa.
Mimi nikusifu kwa jinsi unavyoupigania barabara hii, nia yako itatimizwa Mungu ni mkubwa.
Kabisa, huyu jamaa anapaswa kuungwa mkono kwa hii kelele yake kuhusu hiyo barabara.
Mkuu ingependeza zaidi kuungana mikono kwenye kelele za kuhusu mstakabala mwema wa nchi yetu. Hii barabara ni agenda moja kwani ina declare bandari ya Dar kuwa mfu katika hali ilivyo "to the detriment of us all."
Mengine ni mstakabala wa Corona ambayo haitaondoka kwa kuukimbia ukweli kuhusiana na yenyewe.
Mengine nyeti zaidi ni hawa kina tume ya uchaguzi, polisi, mahakama, jiwe kama watataka kuingilia suala zima la uchaguzi ujao kinyume cha haki.
Ni vyema ikafahamika kuwa Tanzania hii ni yetu sote. Mtu mmoja na asije taka kujifanya kuwa yeye ni mzalendo sana kuliko mwingine.
Mkuu nakuunga mkono kwa nondo hizi.
nilimsikia naibu waziri wa ujenzi akisema
tayari washapatikana wakandarasi watatu kwa ajili ujenzi wa barabara eneo hilo.
Tunamuomba Tindu Lusu atembelee Barabara zifuatazo kabla ya tarehe 25.8.2020Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Wakati akisubiriwa yule mheshimiwa mfufuka kujili pande za huko Rusumo, msafara wa magari likiwamo lenye plate number: W UJ umeonekana katika barabara hii uelekeo Rusumo.
Gari W UJ likipepea bendera yetu tukuka vilivyo likiaashiria uwepo wa mnene huyo msafarani.
Hiyo bado ni habari njema kwani haiyumkiniki hali nzima ilivyo kaishuhudia vyema na habari yenyewe ataifikisha kwa bwana mkubwa live bila chenga:
"Si vishindo bali ni majanga!"
Haiyumkiniki pia kayaona haya yaliyosababishwa na huo ubovu usio mithilika wa barabara hii kwa baadhi ya wapiga kura:
View attachment 1534979
View attachment 1534980
View attachment 1534983
View attachment 1534984
View attachment 1534986
Zote hizi zikiwa baadhi tu ya ambazo zingalipo barabarani.
Kwenu watia nia. Pana kura za kumwaga pande za huko.
Watanzania ni wenye kusamehe na kuadibu ikibidi.
Mkuu hiyo Barabara ni zaidi ya hii comment yako...... Ni mbovu Sana afu iko sehemu za milima,miteremko mikali na Kona Kona balaa.Pamoja na ubovu wa hiyo barabara kuwa hivyo, ila matukio mengi ukiangalia hizo ajali ni swala la driving habit.
Mkuu hiyo Barabara ni zaidi ya hii comment yako...... Ni mbovu Sana afu iko sehemu za milima,miteremko mikali na Kona Kona balaa.
Salute to those drivers.
Hii Barabara inawavua Sana nguo Hawa viongozi wetu
Dr. Magufuli, kwa ajili ya Tanzania.
Wengine hao waambie wakakojoe kisha wakalale.
Tatizo la hizi ajali, hasa kama zinavyoonekana kwenye picha, ni barabara mbovu au ni upakiaji hafifu usiozingatia uzito, uwiano wa uzito na kutokufunga vizuri mizigo hadi ama inasogea upande mmoja na kusababisha gari kupinduka?Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Wakati akisubiriwa yule mheshimiwa mfufuka kujili pande za huko Rusumo, msafara wa magari likiwamo lenye plate number: W UJ umeonekana katika barabara hii uelekeo Rusumo.
Gari W UJ likipepea bendera yetu tukuka vilivyo likiaashiria uwepo wa mnene huyo msafarani.
Hiyo bado ni habari njema kwani haiyumkiniki hali nzima ilivyo kaishuhudia vyema na habari yenyewe ataifikisha kwa bwana mkubwa live bila chenga:
"Si vishindo bali ni majanga!"
Haiyumkiniki pia kayaona haya yaliyosababishwa na huo ubovu usio mithilika wa barabara hii kwa baadhi ya wapiga kura:
View attachment 1534979
View attachment 1534980
View attachment 1534983
View attachment 1534984
View attachment 1534986
Zote hizi zikiwa baadhi tu ya ambazo zingalipo barabarani.
Kwenu watia nia. Pana kura za kumwaga pande za huko.
Watanzania ni wenye kusamehe na kuadibu ikibidi.
Tatizo la hizi ajali, hasa kama zinavyoonekana kwenye picha, ni barabara mbovu au ni upakiaji hafifu usiozingatia uzito, uwiano wa uzito na kutokufunga vizuri mizigo hadi ama inasogea upande mmoja na kusababisha gari kupinduka?
nilimsikia naibu waziri wa ujenzi akisema
tayari washapatikana wakandarasi watatu kwa ajili ujenzi wa barabara eneo hilo.