Leo katibu mkuu wizara ya ujenzi bwana Mwakalinga ziarani Kagera amekaririwa akiwaamuru TANROADS kuanza matengenezo sasa usiku na mchana kwenye kipande hiki.
Amekiri kuwa ni aibu kubwa kwa hali ilivyo sasa kulinganisha na umuhimu wa barabara hii kwa taifa.
Amesema shs 12Bn zimetolewa kwa ajili ya 90km hizi.
Movie inaendelea. Shuka ndiyo hiyo inakumbukwa kumbukwa.
Kinacho itesa nchi hii ni kutokubali mabadiriko. Ya viongozi kuamini kuwa wanawatawala watu ambao ni wajinga, na ni wao pekee wanajua nini kifanyike. Balaa zaidi ni pale kundi hilo la watawala linapogawanyika na mmoja kujiona ndio mjuxi ww yote.