Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

"Kabla ya Julai, japo linaweza cheleweshwa kidogo"
Siku chache baadae:
1. Sigombei ubunge. Mgombea awe Mwanaruangwa.
2. Najiuzulu
3. Upcoming...technically exiled CDE ndio mgombea wetu asiyetaka atoke mlango uko wazi.
 
Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania
Vipi mwezi wa 7 ni kwa kalenda ya China au Ethiopia?Huyu zwazwa wa kuzua kuna wavimba macho wanamchukulia kwa uzito.Ujinga ni zaidi ya maradhi.
 
Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania
Giza Nene😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom