brAin cRacker
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 1,034
- 1,638
japo inaweza cheleweshwa makusudi , ngoja tuone
Hahaha....July hii Hapa. Hatujaona jambo lolote.Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi
Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,
Mungu huyu
Ibariki Tanzania
UmepigwaPosts zako huwa nazizingatia.
Hata ukiposti utani huwa nadhani kweli
Utaota sana (1) Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene | JamiiForums Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza neneUtasikia
Tulisema julai hatukusema mwaka gani
Mashairi ya Mpoto ila ghafla anatafuna hawezi kuimba tenaTuanze kabisa kutunga nyimbo za msiba na mazishi au tuwaelekeze waimbaji wa nyimbo za misiba na mazishi nini cha kutunga mapema?
Julai ndio hii, hilo jambo vipi?Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi
Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,
Mungu huyu
Ibariki Tanzania
Mbona tayari tuko Julai tayari? Utabiri fake huu!Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi
Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,
Mungu huyu
Ibariki Tanzania
Alifikri July haitafika? Mbona hii hapa na hakuna lolote la ajabu limetokea?Siku 48 toka sasa?
Lisipotokea waahidi wanajamii utawalipa nini kwa taharuki
Inabidi tumfanyie tukio yeye mwenyewe ili maandiko yake yatimieAlifikri July haitafika? Mbona hii hapa na hakuna lolote la ajabu limetokea?
unaubishi tena
Huyo hana tofauti na Dr WIlliam wa USA ,anabashiri tu vitu General bila kuwa specific.Where is britanicca ? Njoo utoe muendelezi mkuu
Yeahjapo inaweza cheleweshwa makusudi , ngoja tuone