Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania
Lete Maneno.....
 
Huko same 36, kule sijui mbeya, mara mkoa gan vile juzi imekula 6, jambo lawezekana lipo ila kamati za ufundi zinapooza kwa hizo big bang. Tusali.
 
Tuanze kabisa kutunga nyimbo za msiba na mazishi au tuwaelekeze waimbaji wa nyimbo za misiba na mazishi nini cha kutunga mapema?
Unanikumbusha nyimbo za John Komba na kifo cha Mwl. Nyerere.
 
Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania
Julai 2025 ni kesho. Vipi kuhusu huu utabiri?
 
Back
Top Bottom